HISTORIA YA DIDDY NA MATUKIO YA HATARI IKIWEMO MAUAJI YA RAPA TUPAC

NYOTA WETU Novemba 4, 1969 alizaliwa mtayarishaji wa rekodi, rapa(mwimbaji), mwigizaji, mtengenezaji wa nguo za kiume, mjasiriamali raia wa Marekani maarufu P. Diddy. Jina lake halisi ni Sean John Combs . P. Diddy alishinda tuzo ya Grammy tatu na mbili za MTV, pia tuzo katika usanifu wa fashion Awali alikuwa anajulikana kama Puff Daddy na… Continue reading HISTORIA YA DIDDY NA MATUKIO YA HATARI IKIWEMO MAUAJI YA RAPA TUPAC

WHY YOUR SPOUSE REJECTS YOU

LOVE ❤ 12 BAD MOODS WHY YOUR SPOUSE REJECTS YOU 1. It hurts when you make sexual advances to your spouse but your spouse rudely rejects you 2. It hurts when you ask your spouse out on a date but your spouse claims to be ever busy, looking for excuses 3. It hurts when you… Continue reading WHY YOUR SPOUSE REJECTS YOU

TAARIFA YA PACOME ZOUZOUA KWA SASA

MICHEZO Kiungo wa klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua ambaye alipata majeraha na kushindwa kuendelea na mchezo dhidi ya Azam FC ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ivory Coast kinachotarajiwa kucheza mechi za kirafiki. Taarifa ya Shirikisho la Mpira lvory Coast imebainisha kuwa Pacome anachukua nafasi ya lbrahim Sangare anayekipiga Nottingham Forest ya Ligi… Continue reading TAARIFA YA PACOME ZOUZOUA KWA SASA

EMERSE FAÉ ATEULIWA KUWA KOCHA MKUU WA CÔTE D’IVOIRE

MICHEZO Shirikisho la soka Nchini Ivory limemteua Emerse Faé kuwa Kocha Mkuu wa kudumu wa timu ya Taifa hilo kufuatia mwenendo mzuri wa ‘The Elephants’ kwenye AFCON 2023. Faé aliteuliwa kuwa Kocha wa muda wa Ivory Coast baada ya Mfaransa Jean-Louis Gasset (70) kutupiwa virago kufuatia mwanzo mbaya kwenye AFCON 2023 uliopelekea Ivory Coast kufuzu… Continue reading EMERSE FAÉ ATEULIWA KUWA KOCHA MKUU WA CÔTE D’IVOIRE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner