DE BRUYNE AMKATAA MESSI MBELE YA RONALDO

NYOTA WETU. Kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne amemchagua ambaye angependa kucheza nae kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi. Hivi karibuni, De Bruyne aliulizwa ni nani angependelea kucheza nae kati ya Cristiano Ronaldo na Lionel Andres Messi, ambapo Mbelgiji huyo alisema angependelea kucheza na Ronaldo badala ya Messi ,huku akitolea ufafanuzi kwamba Ronaldo… Continue reading DE BRUYNE AMKATAA MESSI MBELE YA RONALDO

RONALDO AIKATAA PENATI

MICHEZO Cristiano Ronaldo ameikataa penati aliyokuwa amezawadiwa na Refa kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa bara la Asia ulitamatika kwa sare ya (0-0) ,baada Ronaldo kuanguka ndani ya box na refa kutoa penati. Cristiano Ronaldo amemfuata mwamuzi aliyekuwa amezingirwa na wachezaji wa klabu ya Persepolis na kumwambia sio penati hivyo refa akaenda kujiridhisha kwenye VAR… Continue reading RONALDO AIKATAA PENATI

MESSI NA RONALDO KUKUTANA UWANJANI

MICHEZO Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kukutana tena February mwakani ambapo Al-Nassr na Inter Miami watachuana kuwania kombe la Riyadh ( Riyadh season Cup). Inaitwa ” The last Dance” ambapo watacheza mchezo wao huko Riyadh, Saudia Arabia baada ya Inter Miami kukubali kucheza dhidi ya Al-Nassr katika kombe la Riyadh season lililoundwa hivi karibuni.

RONALDO AMTETEA MESSI

Michezo RONALDO amesema kuwa yeye na Messi sio marafiki bali ni watu waliofanya kazi pamoja huku akidai kuwa na sasa wawili hao kila mmoja amefuata njia yake. “Amefuata njia yake kama mimi nilivyofuata yangu.Bila ya kujali kama tunacheza nje ya Ulaya,mambo yake yanakwenda vizuri kwa vile nionavyo ,na mimi pia nafanya mambo yangu vizuri. Tumekuwa… Continue reading RONALDO AMTETEA MESSI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner