CHELSEA YAIFUNGA MANCHESTER KIMIUJIZA

MICHEZO Cole Palmer ameibuka shujaa wa Chelsea kwa kufunga mabao 3 kwenye ushindi wa kimiujiza wa 4-3 walioupata Chelsea mbele ya Manchester United kwenye muendelezo wa ligi kuu soka nchini England. Hadi dakika ya mwisho ya nyongeza kwenye zile dakika 8 za kufidia muda uliopotea Manchester United walikuwa mbele kwa 3-2 kabla ya mambo kuwabadilikia… Continue reading CHELSEA YAIFUNGA MANCHESTER KIMIUJIZA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner