SABABU CLATOUS CHAMA KUFUNGIWA

MICHEZO Mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya TZS milioni 1 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji Nickson Kibabage katika mchezo wa Yanga na Simba Aprili 20, 2024. Adhabu hiyo imetolewa baada ya kikao kilichokaa cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu… Continue reading SABABU CLATOUS CHAMA KUFUNGIWA

JAPHET MAGANGA AFUKUZWA KAZI CWT

HABARI KUU Baraza kuu la Chama Cha Walimu ( CWT) limemsimamisha kazi ya Ukatibu Mkuu Japhet Magaga. Hatua hiyo inajiri baada ya mwajiri wake, Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Temeke kumfuta kazi. Mbali ya hilo,kutokana na tukio lililotokea St Gaspar jiji Dodoma ambapo polisi walimkamata Maganga na wengine 10 kwa kusababisha vurugu. Rais wa… Continue reading JAPHET MAGANGA AFUKUZWA KAZI CWT

MWALIMU MAGANGA AFUTWA KAZI

HABARI KUU. Tume ya utumishi ya Walimu Tanzania (TSC) imemsimamisha kazi Mwalimu Maganga Japhet kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa kutekeleza maelekezo halali ya viongozi wake. Taarifa za kusimamishwa kwa Mwalimu Maganga ambaye awali alikuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ,zimetolewa kupitia barua ya taarifa kwa umma iliyosainiwa… Continue reading MWALIMU MAGANGA AFUTWA KAZI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner