RAIS WA VIETNAM AJIUZULU KWA KUSHINDWA KUPAMBANA NA UFISADI

HABARI KUU Rais wa Vietnam,Vo Van Thuong amewasilisha barua yake ya kujiuzulu baada ya mwaka mmoja tu Madarakani kwa shutuma za kushindwa kupambana na ufisadi nchini humo. Hatua hiyo ya kujiuzulu kwa Rais huyo mwenye umri wa miaka 53 inakuja wakati Vietnam ikikumbwa na msukosuko mkubwa wa kisiasa ambapo mtangulizi wake pia aliondoka Madarakani baada… Continue reading RAIS WA VIETNAM AJIUZULU KWA KUSHINDWA KUPAMBANA NA UFISADI

MASON GREENWOOD NA MANCHESTER UNITED MAMBO NI SAFI

MICHEZO Mastaa wa Manchester United wameripotiwa kufungua milango kwa mchezaji mwenzao, Mason Greenwood kurudi kuichezea timu hiyo ya Old Trafford. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22, alikuwa na hofu huenda maisha yake ya kuichezea Man United yamefika mwisho baada ya kutolewa kwa mkopo huko Getafe ya Hispania, kutokana na sakata lake la kesi ya… Continue reading MASON GREENWOOD NA MANCHESTER UNITED MAMBO NI SAFI

DE BRUYNE NA MANCHESTER CITY BADO NGOMA NZITO

MICHEZO Mabosi wa Manchester City wamesitisha mazungumzo na wawakilishi wa kiungo Kevin de Bruyne yaliyokuwa na lengo la kumsainisha mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mazungumzo hayo yamesitishwa kwa kile kinachoelezwa wanaweka umakini zaidi kwenye mechi za timu hiyo katika michuano mbalimbali. De Bruyne mwenye umri wa miaka 32, mkataba wake wa sasa unatarajiwa… Continue reading DE BRUYNE NA MANCHESTER CITY BADO NGOMA NZITO

LUIS ENRIQUE KURUDI FC BARCELONA

MICHEZO FC Barcelona imeripotiwa kuwa na mpango wa kumrudisha kocha wake wa zamani anayeinoa Paris Saint-Germain kwa sasa, Luis Enrique kurudi kupiga mzigo Camp Nou. Mabingwa hao watetezi wa La Liga wataagana na kocha wao Xavi mwishoni mwa msimu huu baada ya kutangaza kwamba ataondoka ili aje mtu mwingine mwenye mawazo tofauti. Xavi alibainisha hilo… Continue reading LUIS ENRIQUE KURUDI FC BARCELONA

BARCELONA YAMUONDOA DANI ALVES KWENYE ORODHA YA NYOTA WAKE

MICHEZO Klabu ya Barcelona imemuondoa Dani Alves kwenye orodha ya wachezaji ambao walikuwa wanaheshimika kama magwiji wa klabu katika historia kwenye tovuti rasmi ya klabu ya Barcelona. Ingawa FC Barcelona haijatoa maoni rasmi, inaaminika kuwa kitendo hicho cha kumuondoa Alves kwenye tovuti kinaashiria kuwepo kwa tahadhari ndani ya klabu kuhusiana na hali anayokumbana nayo Mbrazil… Continue reading BARCELONA YAMUONDOA DANI ALVES KWENYE ORODHA YA NYOTA WAKE

DANI ALVES AHUKUMIWA KIFUNGO JELA

MICHEZO NYOTA wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil, Dani Alves amehukumiwa kifungo cha miaka minne na miezi 6 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumnyanyasa kingono mwanamke mmoja katika klabu ya usiku ya Barcelona mnamo mwaka 2022. Uamuzi huo umefanywa na Mahakama kuu Nchini Uhispania ambayo sambamba adhabu hiyo imemuamuru beki huyo… Continue reading DANI ALVES AHUKUMIWA KIFUNGO JELA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner