RAIS WA VIETNAM AJIUZULU KWA KUSHINDWA KUPAMBANA NA UFISADI
HABARI KUU Rais wa Vietnam,Vo Van Thuong amewasilisha barua yake ya kujiuzulu baada ya mwaka mmoja tu Madarakani kwa shutuma za kushindwa kupambana na ufisadi nchini humo. Hatua hiyo ya…
HABARI KUU Rais wa Vietnam,Vo Van Thuong amewasilisha barua yake ya kujiuzulu baada ya mwaka mmoja tu Madarakani kwa shutuma za kushindwa kupambana na ufisadi nchini humo. Hatua hiyo ya…
MICHEZO Mastaa wa Manchester United wameripotiwa kufungua milango kwa mchezaji mwenzao, Mason Greenwood kurudi kuichezea timu hiyo ya Old Trafford.Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22, alikuwa na hofu huenda…
MICHEZO Mabosi wa Manchester City wamesitisha mazungumzo na wawakilishi wa kiungo Kevin de Bruyne yaliyokuwa na lengo la kumsainisha mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mazungumzo hayo yamesitishwa kwa…
MICHEZO FC Barcelona imeripotiwa kuwa na mpango wa kumrudisha kocha wake wa zamani anayeinoa Paris Saint-Germain kwa sasa, Luis Enrique kurudi kupiga mzigo Camp Nou. Mabingwa hao watetezi wa La…
MICHEZO Klabu ya Barcelona imemuondoa Dani Alves kwenye orodha ya wachezaji ambao walikuwa wanaheshimika kama magwiji wa klabu katika historia kwenye tovuti rasmi ya klabu ya Barcelona. Ingawa FC Barcelona…
MICHEZO NYOTA wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil, Dani Alves amehukumiwa kifungo cha miaka minne na miezi 6 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumnyanyasa kingono mwanamke…