Kwanini INNOCENT BASHUNGWA ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani?
Nitajaribu kuandika kwa ‘ Lugha’ nyepesi kama linavyosomeka jina lake la katikati; Innocent Lugha Bashungwa. Amefanywa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Mheshimiwa Bashungwa anakwenda kuwa Waziri wa Mambo ya…