DE BRUYNE NA MANCHESTER CITY BADO NGOMA NZITO

MICHEZO Mabosi wa Manchester City wamesitisha mazungumzo na wawakilishi wa kiungo Kevin de Bruyne yaliyokuwa na lengo la kumsainisha mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Mazungumzo hayo yamesitishwa kwa kile kinachoelezwa wanaweka umakini zaidi kwenye mechi za timu hiyo katika michuano mbalimbali. De Bruyne mwenye umri wa miaka 32, mkataba wake wa sasa unatarajiwa… Continue reading DE BRUYNE NA MANCHESTER CITY BADO NGOMA NZITO

KELVIN DE BRUYNE KWENYE RADA ZA WAARABU

MICHEZO Inaripotiwa kuwa klabu ya Al-Nassr kutoka ligi kuu ya Saudia Arabia, imedhamiria kumsajili kiungo wa Manchester City, Kelvin De Bruyne. Tayari klabu hiyo imewasiliana na wakala wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji ili kukutana na kuelezea mkakati wao wa muda mrefu wa kumshawishi kiungo huyo Mshambuliaji ajiunge nao. De Bruyne mwenye umri wa… Continue reading KELVIN DE BRUYNE KWENYE RADA ZA WAARABU

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner