LUHAGA MPINA kuwaburuza Spika na Bashe Mahakamani
Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina ambaye anatumikia adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya Bunge, amesema anatarajia kupeleka mahakamani malalamiko yake ya kuondolewa Bungeni kwa kile alichodai kuwa kuna uonevu…