SABABU ZIWA TANGANYIKA KUFUNGWA MIEZI MITATU

HABARI KUU Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutekeleza mpango wa kulipumzisha Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma kuanzia Mei 15 hadi Agosti 15, 2024 ambapo shughuli za uvuvi zitazuiwa katika kipindi hicho. Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli, amewaambia wadau, viongozi na wavuvi wanaotumia ziwa hilo kuwa zoezi hilo ni sehemu ya kukuza… Continue reading SABABU ZIWA TANGANYIKA KUFUNGWA MIEZI MITATU

SAKATA LA MBUNGE OLE-SENDEKA KUSHAMBULIWA LIKO HIVI

HABARI KUU Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini, DCP David Misime amesema Polisi wanafuatilia tukio la kufyatuliwa risasi kwa Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka na Dereva wake wakati wakiwa safarini tukio lililotokea katika Kijiji cha Ngabolo kilichopo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara. Misime ameyasema hayo na kuongeza kuwa wanafuatilia tukio hilo kwa ukaribu na uchunguzi… Continue reading SAKATA LA MBUNGE OLE-SENDEKA KUSHAMBULIWA LIKO HIVI

" class="blockspare-share-linkedin" title="Share on LinkedIn" > Share on LinkedIn

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner