MOURINHO NA ERIK TEN HAG WAINGIA KWENYE MGOGORO MZITO
MICHEZO Kocha Mkuu wa Manchester United Erik ten Hag amejibu maoni yaliyotolewa na Jose Mourinho baada ya kocha huyo kutoka nchini Ureno kusema kuwa hakuwahi kuwa na uungwaji mkono kama…
MICHEZO Kocha Mkuu wa Manchester United Erik ten Hag amejibu maoni yaliyotolewa na Jose Mourinho baada ya kocha huyo kutoka nchini Ureno kusema kuwa hakuwahi kuwa na uungwaji mkono kama…
MICHEZO Mlinzi wa kati Mats Hummels alifunga bao pekee kwa Borussia Dortmund na kuwapa tiketi ya kucheza fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya na kuwaondosha PSG kwa matokeo ya jumla…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
MICHEZO Crystal Palace imeifunga Manchester United nyumbani na ugenini kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Ligi kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Mashetani Wekundu katika dimba…
HABARI KUU Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe amesema ni wakati muafaka sasa kwa wananchi wa Tanganyika (Tanzania Bara) kuacha nidhamu ya woga na aibu…
HABARI KUU Aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema ameeleza kuwa hakuna vita ya nafasi ya kugombea Urais ndani ya Chama hicho katika uchaguzi ujao huku akisema…
HABARI KUU KUFUATIA Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA -Tundu Lisu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai…
NYOTA WETU Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto wa klabu ya FC Lupopo ya DR Congo, Chadrack Issaka Boka mwisho wa msimu kuchukua nafasi ya Joyce…
NYOTA WETU Mwanasiasa wa siku nyingi na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini, Charles Kitwanga amekemea tabia ya kuwalaumu Polisi moja kwa moja kuhusu mapungufu ya huduma yaliyopo…
HABARI KUU Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema kuwa wao kama Chama katika miaka yao 10 kama Chama chenye usajili wa kudumu, wameweza kujijenga kitaasisi na…