Woman left in complete shock and heartbreak as a lawyer who handled her divorce proceedings married her ex-husband.

A Nigerian woman was shocked and saddened to learn that the female lawyer who represented her in her divorce had subsequently married her ex-husband. The incident, which occurred in Uyo,…

Continue ReadingWoman left in complete shock and heartbreak as a lawyer who handled her divorce proceedings married her ex-husband.

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kwahani Unguja Safia Iddi Mohammed, amemtangaza Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Khamis Yussuf maarufu Pele kuwa Mbunge wa Jimbo hilo.

Safia amemtangaza Pele kushinda nafasi hiyo leo Jumamosi, Juni 08, 2024 usiku katika ukumbi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Lumumba mkoa wa mjini Magharib Unguja. Amesema kuwa mshindi…

Continue ReadingMSIMAMIZI wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kwahani Unguja Safia Iddi Mohammed, amemtangaza Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Khamis Yussuf maarufu Pele kuwa Mbunge wa Jimbo hilo.

Ulimwengu wa kandanda umejaa utajiri na mafanikio, na hii huonekana wazi kwenye magari ya kifahari wanayomiliki wachezaji nyota. Magari haya yanaashiria sio tu utajiri wao bali pia ladha yao ya kipekee na mitindo ya maisha ya kuvutia. Hapa ni baadhi ya wachezaji wa mpira wenye majina makubwa huko ‘duniani’ wanaomiliki magari ya bei ghali zaidi.

OMchezaji wa timu ya Taifa ya Ureno na klabu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaomiliki magari ya kifahari na bei ghali zaidi duniani. Miongoni mwa magari…

Continue ReadingUlimwengu wa kandanda umejaa utajiri na mafanikio, na hii huonekana wazi kwenye magari ya kifahari wanayomiliki wachezaji nyota. Magari haya yanaashiria sio tu utajiri wao bali pia ladha yao ya kipekee na mitindo ya maisha ya kuvutia. Hapa ni baadhi ya wachezaji wa mpira wenye majina makubwa huko ‘duniani’ wanaomiliki magari ya bei ghali zaidi.

Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemteua Mhe.Veronica Mueni Nduva kutoka Jamhuri ya Kenya kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mabadiliko hayo katika Sekretarieti ya EAC yamefanyika baada kuondolewa kwa Peter Mathuki Machi 8, ambaye anashutumiwa katika mambo mbali mbali hasa matumizi mabaya ya madaraka. Rais Ruto alimwita Mathuki nyumbani…

Continue ReadingWakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemteua Mhe.Veronica Mueni Nduva kutoka Jamhuri ya Kenya kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.