Klabu ya Singida Black Stars (zamani Ihefu Fc) imethibitisha kuingia makubaliano na aliyekuwa kocha wa Simba Sc, kocha Kocha Patrick Aussems raia wa Ubeligiji kuwa Kocha Mkuu klabuni hapo kuanzia msimu mpya wa 2024/25 kwa kandarasi ya awali ya msimu mmoja mpaka tarehe 30 Juni 2025.

Patrick Aussems ni Kocha mwenye leseni ya UEFA PRO na uzoefu wa kufundisha vilabu vikubwa barani Africa, Ulaya na Asia, zikiwemo timu za Al Hilal Omdurman (Sudan), Simba SC (Tanzania),…

Continue ReadingKlabu ya Singida Black Stars (zamani Ihefu Fc) imethibitisha kuingia makubaliano na aliyekuwa kocha wa Simba Sc, kocha Kocha Patrick Aussems raia wa Ubeligiji kuwa Kocha Mkuu klabuni hapo kuanzia msimu mpya wa 2024/25 kwa kandarasi ya awali ya msimu mmoja mpaka tarehe 30 Juni 2025.

Mwanaharakati na Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya kijamii na kisiasa Godlisten Malisa anashikiliwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni muda mfupi baada ya kuahirishwa kwa kesi inayowakabili yeye na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Malisa kwa kile walichodai ana shtaka jipya Mkoani Kilimanjaro na hivyo Jeshi hilo limeanza safari ya kumpeleka Mkoani humo ili kuendelea…

Continue ReadingMwanaharakati na Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya kijamii na kisiasa Godlisten Malisa anashikiliwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni muda mfupi baada ya kuahirishwa kwa kesi inayowakabili yeye na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es salaam.

Video featuring singer Ayra Starr and her friends dancing enthusiastically to a verse by Asake from her album has sparked online buzz.

Nigerian singer Ayra Starr has sparked online chatter after sharing a video where she and her friends are enjoying Asake’s verse from her recent album, “The Year I turned 21.”…

Continue ReadingVideo featuring singer Ayra Starr and her friends dancing enthusiastically to a verse by Asake from her album has sparked online buzz.

Video captures the chilling moment man, consumed by anger, fatally shoots his neighbor after water supply was abruptly cut off.

A disturbing video that has gone viral online depicts a tragic altercation between neighbors that resulted in one man fatally shooting his neighbor over a water-related dispute. The shocking incident…

Continue ReadingVideo captures the chilling moment man, consumed by anger, fatally shoots his neighbor after water supply was abruptly cut off.