DJ Cuppy shared her reaction on social media after getting a marriage proposal from a secret admirer who quoted a bible verse.

She posted a video of the text, generating curiosity and excitement among her followers. DJ Cuppy, the renowned Nigerian disc jockey and daughter of a billionaire, recently found herself at…

Continue ReadingDJ Cuppy shared her reaction on social media after getting a marriage proposal from a secret admirer who quoted a bible verse.

Uongozi wa Arsenal una mpango wa kumsainisha mkataba mpya Kocha Mkuu wa Mikel Arteta, ili kuongeza chachu ya kumsajili na kisha kumsajili Mshambuliaji kutoka Slovenia na Klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani Benjamin Sesko.

Gazeti la The Mirror limeripoti kuwa, hatua ya Arteta kutarajiwa kusaini mkataba mpya, itatumika kama silaha ya kumvuta Mshambuliaji huyo mwenye umri wa 20, ambaye kwa sasa anaongoza katika orodha…

Continue ReadingUongozi wa Arsenal una mpango wa kumsainisha mkataba mpya Kocha Mkuu wa Mikel Arteta, ili kuongeza chachu ya kumsajili na kisha kumsajili Mshambuliaji kutoka Slovenia na Klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani Benjamin Sesko.

Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini England Jack Grealish huenda akachana na Mabingwa wa Soka wa Ligi ya EPL Manchester City, kufuatia madai ya kukiukwa kwa mkataba wake.

Grealish amekuwa hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza cha Manchester City, kama ilivyotarajiwa wakati akisajiliwa huko Etihad Stadium akitokea Aston Villa. Kiungo huyo mwenye umri…

Continue ReadingKiungo Mshambuliaji kutoka nchini England Jack Grealish huenda akachana na Mabingwa wa Soka wa Ligi ya EPL Manchester City, kufuatia madai ya kukiukwa kwa mkataba wake.