REAL MADRID YATINGA FAINALI IKIICHAPA BAYERN MUNICH
MICHEZO Real Madrid imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 4-3 dhidi ya Bayern Munich kwenye nusu fainali. Mabingwa wa kihistoria wa michuano ya ligi…
MICHEZO Real Madrid imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa jumla wa 4-3 dhidi ya Bayern Munich kwenye nusu fainali. Mabingwa wa kihistoria wa michuano ya ligi…
SIASA Wizara ya Nishati imetakiwa kuwatafuta Watanzania Wabunifu wa teknolojia, ili waweze kufanikisha mpango wa matumizi ya gesi ya kupikia kwa kulipia kadri unavyotumia. Wito huo umetolewa na Rais wa…
MICHEZO "Imekuwa bahati kuwa hapa, lakini lazima niseme ukweli, kwa sababu tuna makubaliano, hakuna sababu ya kutilia shaka makubaliano haya kwa sasa. Tumefika hapa kwa kushirikiana na Uongozi pamoja na…
MICHEZO Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limemtangaza Mwamuzi kutoka Mauritania Beida Dahane kusimamia Teknolojia ya Video ya Usaidizi kwa Mwamuzi wa Kati ‘VAR’ katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
MICHEZO Nyota wa Chelsea, Thiago Silva mwenye umri wa miaka 39 atajiunga tena na klabu ya Fluminese ya kwao Brazil. Chelsea itamruhusu kujiunga na klabu hiyo ya Brazil mapema sana…
MICHEZO Kocha Mkuu wa Manchester United Erik ten Hag amejibu maoni yaliyotolewa na Jose Mourinho baada ya kocha huyo kutoka nchini Ureno kusema kuwa hakuwahi kuwa na uungwaji mkono kama…
MICHEZO Mlinzi wa kati Mats Hummels alifunga bao pekee kwa Borussia Dortmund na kuwapa tiketi ya kucheza fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya na kuwaondosha PSG kwa matokeo ya jumla…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
MICHEZO Crystal Palace imeifunga Manchester United nyumbani na ugenini kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Ligi kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Mashetani Wekundu katika dimba…