WALIOMUUA MWANAFUNZI WA CHUO HAJIRAT SHABAN WAKAMATWA
HABARI KUU Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya Hajirat Shabani (22) mwanafunzi wa chuo cha St. Joseph kilichopo mkoani Morogoro. Akizungumza na…
HABARI KUU Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya Hajirat Shabani (22) mwanafunzi wa chuo cha St. Joseph kilichopo mkoani Morogoro. Akizungumza na…
MICHEZO Klabu ya Azam FC imeshinda kesi dhidi ya mshambuliaji wao Prince Dube kuhusu masuala ya kimkataba na sasa mchezaji huyo atatakiwa kuilipa klabu ya Azam FC kiasi cha Dola…
HABARI KUU Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema licha ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, Bwala la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) lipo salama kutokana na…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
HABARI KUU Mkuu wa Majeshi nchini Kenya Jenerali Francis Ogolla, amefariki Dunia kufuatia ajali ya Helikopta ya Jeshi la Ulinzi la Kenya kushika moto baada ya kuanguka katika eneo la…
MICHEZO Manchester United wanaamini mshambuliaji kinda wa timu hiyo, Alejandro Garnacho amejiweka mbali na ugomvi ambao ungetokea kati yake na kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag baada ya nyota…
HABARI KUU Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Annalena Baerbock na wa Uingereza David Cameron, wapo nchini Israel kuelezea wasiwasi wao kuhusu hofu ya mzozo unaoendelea Gaza,…
HABARI KUU Dereva wa Basi dogo la Shule ya Msingi Ghati Memorial, lililosombwa na maji na kuua wanafunzi nane jijini Arusha, Lukuman Hemed amepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka nane, likiwemo…
MICHEZO Wakati tetesi zikieleza kuwa Uongozi wa Azam FC umewasilisha ofa kwa mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans ukihitaji huduma ya Mshambuliaji Clement Mzize, Mchambuzi wa Soka Tanzania Jemedari…
HABARI KUU Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki, limeamua kwa pamoja kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu…