TP MAZEMBE YAKANUSHA TAARIFA ZA KIFO CHA RAINFORD KALABA
MICHEZO Klabu ya TP Mazembe imechapisha taarifa kuwa nguli wake Rainford Kalaba yupo kwenye wodi ya wagonjwa mahututi nchini Zambia baada ya kupata ajali mbaya ya gari mapema leo Aprili…
MICHEZO Klabu ya TP Mazembe imechapisha taarifa kuwa nguli wake Rainford Kalaba yupo kwenye wodi ya wagonjwa mahututi nchini Zambia baada ya kupata ajali mbaya ya gari mapema leo Aprili…
NYOTA WETU Kiungo mshambuliaji wa TP Mazembe na timu ya taifa Zambia, Rainford Kalaba (37), amefariki dunia leo hii baada ya kupata ajali ya kugongana na gari lingine akiwa ndani…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
NYOTA WETU Msanii Harmonize ameingia katika mzozo na waumini wa dini ya Kiislamu huku wakimtaka afute mara moja maneno yake alioandika akimfananisha Mwenyezi Mungu na Mwanamke. Kwa mujibu wa kile…
MICHEZO Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa taarifa kuwa Klabu ya Young Africans (Yanga) inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la…
HABARI KUU Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema atawataja kwa majina wote wanaohusika kuwalipa watu kwaajili ya kumtukana Rais kwenye mitandao ya kijamii. "Nafahamu wenye maneno hawaishi kusema…
MICHEZO Beki wa kati wa klabu ya Simba SC, Hennock Inonga atajiunga na klabu ya FAR Rabat ya Morocco mwishoni mwa msimu huu.Mchezaji husika na klabu ya Simba tayari wanafahamu…
LOVE TIPS ❤ 13 MOVES OF MAN NEEDS A WOMAN TO DISAGREES WITH HIM:Disagreement doesn't mean there is a problem in the relationship/marriage. A wise man listens to his woman…
MICHEZO Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki amesaini mkataba wa miaka (2) kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga.Kabla hajasaini mkataba mpya alitoa sharti kuwa, endapo atasalia katika klabu hiyo…
HABARI KUU Mbali ya miili saba ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial iliyopo Murieti jijini Arusha kupatikana, pia mwili wa msamaria mwema aliyejaribu kuokoa wanafunzi hao (jina halijafahamika)…