MZEE JUAN VICENTE PEREZ AFARIKI DUNIA
NYOTA WETU Mtu Mzee kuliko wote duniani (kati ya waliopo kwenye rekodi rasmi) Juan Vicente Perez (114), amefariki dunia, ikiwa ni miezi miwili kabla hajatimiza miaka 115. Mzee Perez kutokea…
NYOTA WETU Mtu Mzee kuliko wote duniani (kati ya waliopo kwenye rekodi rasmi) Juan Vicente Perez (114), amefariki dunia, ikiwa ni miezi miwili kabla hajatimiza miaka 115. Mzee Perez kutokea…
HABARI KUU Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, limechangia kujenga uchumi imara kwa kulinda mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo wananchi kuwa na uhuru wa kufanya…
NYOTA WETU Mchezo wa marudiano wa hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baina ya Mamelodi Sundowns na Young Africans utakaochezwa kesho Ijumaa (Aprili 05), Pretoria, Afrika Kusini…
HABARI KUU Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Maji kuweka utaratibu wa mwananchi kutumia maji kulingana na kiasi alicholipia ili kuondoa malalamiko ya kulimbikiziwa bili za maji.Rais Samia ametoa…
MICHEZO Klabu ya Brighton imetengeneza faida iliyoweka rekodi ya Pauni milioni 122.8 (sawa na Sh bilioni 415) katika mwaka wa fedha wa 2022-23, ukiwa msimu wenye mafanikio zaidi katika historia…
HABARI KUU Rais mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemteua kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Osmane Sonko kuwa waziri mkuu wake ikiwa ni muda mfupi baada ya…
HABARI KUU Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula amejiuzulu baada ya Polisi kuvamia nyumba yake katika uchunguzi kuhusu kashfa ya rushwa.Mwanasiasa huyo anatuhumiwa kuomba rushwa mara kadhaa, zenye…
MICHEZO Shirikisho la Soka nchini Tunisia Fédération Tunisienne de Football (FTF) limepanga kumchukua kocha wa zamani wa Yanga SC, Nassredine Nabi kuifundisha timu ya taifa hilo. Nabi anayekinoa kikosi cha…
MICHEZO Neymar anatazamia kuondoka Saudi Arabia na amewaambia wachezaji klabu yake ya zamani ya Santos kwamba atarejea Brazil ifikapo mwaka 2025, kwa mujibu wa ESPN. Winga huyo mwenye umri wa…
NYOTA WETU Mke wa Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama,Michelle Obama ameshindwa kujizuia na kumpa maua yake mwanamuziki Beyonce kwa kuvunja rekodina kuweka historia na kubadilisha muziki kupitia Album yake…