MV MALAGARASI YAPATA ITILAFU
HABARI KUU Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limetoa taarifa ya hitilafu ya kivuko cha abiria MV Malagarasi kinachofanya shughuli ya kuvusha abiria na mizigo mto Malagarasi eneo la llagala,…
HABARI KUU Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limetoa taarifa ya hitilafu ya kivuko cha abiria MV Malagarasi kinachofanya shughuli ya kuvusha abiria na mizigo mto Malagarasi eneo la llagala,…
MICHEZO Wachezaji wa Yanga SC viungo Khalid Aucho, Pacome Zouazoua na mlinzi Yao Attohoula ni miongoni mwawachezaji wa Yanga SC waliosafiri na kikosi hicho kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili…
HABARI KUU Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi leo Aprili Mosi amemteua Waziri wake wa Mipango, Judith Tuluka Suminwa kuwa Waziri Mkuu.Suminwa anakuwa mwanamke wa kwanza…
NYOTA WETU Clip ya Usher Raymond(45) yasambaa akiulizwa kuhusu kuishi kwa Diddy(54) alipokuwa na miaka 15 Clip husika inayosambaa sasa inatoka katika mahojiano ya mwaka 2016 katika The Howard Stern…
TOP NEWS President Félix Tshisekedi has just appointed Judith Tuluka Suminwa to the post of Prime Minister. Before her appointment as Head of Government, Judith Tuluka was Minister of State…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
HABARI KUU Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajia kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la ngiri. Tatizo hilo liligundulika jana usiku wakati akifanyiwa uchunguzi. Upasuaji huo utafanyika akiwa amechomwa ganzi…
MICHEZO Bondia Mtanzania Abdallah Pazi almaarufu Dulla MBABE amepigwa kwa 'Knock Out' kwenye raundi ya 4 katika pambano la raundi 10 na bondia Callum Simpson raia wa Uingereza katika pambano…
NYOTA WETU Rapa wa Marekani Yung Miami anatuhumiwa kwa kumbebea Diddy dawa za kulevya aina ya "Pink Cocaine" au "Tuci". Hii ni Kwa Mujibu Wa Nyaraka Mpya za Kisheria Katika…
MICHEZO Mbio za kuwania taji la EPL zimezidi kupamba moto baada ya Manchester City kubanwa mbavu na Arsenal na kulazimishwa suluhu tasa ya 0-0. Matokeo hayo yametoa mwanya kwa Liverpool…