WAZIRI MKUU OUSMANE SONKO ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI SENEGAL
HABARI KUU Siku tatu baada ya kuapishwa kwa Rais wa tano wa nchi ya Senegal Bassirou Diomaye Faye, Waziri Mkuu Ousmane Sonko ameunda Serikali mpya yenye Mawaziri 25 na Makatibu…
HABARI KUU Siku tatu baada ya kuapishwa kwa Rais wa tano wa nchi ya Senegal Bassirou Diomaye Faye, Waziri Mkuu Ousmane Sonko ameunda Serikali mpya yenye Mawaziri 25 na Makatibu…
HABARI KUU "Mimi niliona ni goli" Akizungumza na Idhaa ya Taifa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt . Tulia Akson Mwansasu ametoa maoni yake kuhusu goli…
NYOTA WETU Kupanga ni kuchagua, ndicho alichowahi kukifanya bingwa wa ngumi duniani Mike Tyson kukaa miaka mitano bila ya kufanya mapenzi ili kulinda nguvu zake. Unajua ilikuwaje? Iki hivi, mabondia…
MASTORI Aslay ndie chanzo cha beef zito kati yao !! Mbosso na Aslay wafunguka Baada ya Yamoto Band kusambaratika, Aslay ndiye aliyekuwa wa kwanza kuachia nyimbo zake binafsi ambapo Mbosso…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
MICHEZO Shirikisho la Soka nchini Cameroon ‘FECAFOOT’ limekanusha na kushangazwa na Wizara ya Michezo ya nchi hiyo kumteua Marc Brys kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya taifa, ‘Indomitable Lions’.…
MICHEZO Klabu ya Real Madrid haitarajiwi kumbakisha Kepa Arrizabalaga hadi mwisho wa mkopo wake wa sasa, na hiyo inamaanisha kwamba, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 atarejea katika klabu…
NYOTA WETU Mtu Mzee kuliko wote duniani (kati ya waliopo kwenye rekodi rasmi) Juan Vicente Perez (114), amefariki dunia, ikiwa ni miezi miwili kabla hajatimiza miaka 115. Mzee Perez kutokea…
HABARI KUU Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, limechangia kujenga uchumi imara kwa kulinda mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo wananchi kuwa na uhuru wa kufanya…
NYOTA WETU Mchezo wa marudiano wa hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baina ya Mamelodi Sundowns na Young Africans utakaochezwa kesho Ijumaa (Aprili 05), Pretoria, Afrika Kusini…