RAIS SAMIA ATOA ONYO KWA WIZARA YA MAJI JUU YA KUBAMBIKIZA BILI KUBWA
HABARI KUU Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Maji kuweka utaratibu wa mwananchi kutumia maji kulingana na kiasi alicholipia ili kuondoa malalamiko ya kulimbikiziwa bili za maji.Rais Samia ametoa…