SOME OF THE DARKEST SIDES OF WOMEN YOU DON’T KNOW

A woman who loves you, smells everything that touches you including your clothes. And, again, shyness and tears are not a valid effects to determine if she’s a good woman, because a woman can fake it like a boss. They are capable of doing that. When you cheat on her and she doesn’t hate you,… Continue reading SOME OF THE DARKEST SIDES OF WOMEN YOU DON’T KNOW

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO IIJUMAA 21/06/2024

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

KWANINI USAJILI WA LAMECK LAWI UNAZUA UTATA KATI YA SIMBA NA COASTAL UNION?

MICHEZO BREAKING NEWS. COASTAL UNION WADAI LAWI BADO NI MCHEZAJI WAO. Licha ya klabu ya Simba SC kumtambulisha beki, Lameck Lawi leo jioni, usiku huu viongozi wa Coastal Union wamesema wao wanatambua kuwa Lameck Lawi bado ni mchezaji wao halali na watamtumia msimu ujao. “Ni kweli tulikuwa na mawasiliano na Simba lakini walishindwa kufikia ofa… Continue reading KWANINI USAJILI WA LAMECK LAWI UNAZUA UTATA KATI YA SIMBA NA COASTAL UNION?

KIPI KINASABABISHA MVURUGIKO WA SIKU ZA HEDHI KWA WANAWAKE?

AFYA 🌟 Kuelewa Mvurugiko wa Siku za Hedhi kwa Wasichana 🌟 Hizi hapa ni baadhi ya sababu zinazoweza kupelekea mvurugiko wa siku za hedhi: 💠 Umri: Wanawake wenye umri wa miaka 40 na kuendelea wapo kwenye hatari ya kuwa na mvurugiko wa siku za hedhi kutokana na upungufu wa ufanyaji kazi wa ovari katika kuzalisha… Continue reading KIPI KINASABABISHA MVURUGIKO WA SIKU ZA HEDHI KWA WANAWAKE?

MAWAKILI KUMBURUZA MAHAKAMANI MKUU WA WILAYA KWA UDHALILISHAJI WANAWAKE

HABARI KUU Wakili wa kujitegema nchini Wakili Peter Madeleka amesema wanajiandaa kufungua shauri la fidia ya shilingi za Kitanzania bilioni 36 dhidi ya mkuu wa wilaya ya Ubungo jijini Dar es salam Hassan Bomboko kwa udhalilishaji wa watu 36 alioagiza wamakatwe akiwatuhumu kujihusisha na biashara ya ngono na kisha kuachiliwa huru. Wakili Madeleka ametoa kauli… Continue reading MAWAKILI KUMBURUZA MAHAKAMANI MKUU WA WILAYA KWA UDHALILISHAJI WANAWAKE

WHY MEN LOVE SEX?

DEAR LADIES SEX ISN’T ENOUGH PLEASE TAKE NOTE It’s possible for any man to ask for sex in a relationship, but is left for you as a lady to know that sex, can’t keep him..(Sex isn’t enough) There are two major factors ladies complain about sex in a relationship:√ After giving him my body he… Continue reading WHY MEN LOVE SEX?

WHY MEN ARE CALLED “GROOM”, AND THE WOMAN “THE BRIDE” ON WEDDING DAY?…

Why is the newly wedded man called groom and the woman called bride? A friend of mine got tired of his wife just about six months after wedding. He complained bitterly to me about her and told me that he has concluded to break up with her; he went on to say that he was… Continue reading WHY MEN ARE CALLED “GROOM”, AND THE WOMAN “THE BRIDE” ON WEDDING DAY?…

KWANINI MAHUJAJI WANAKUFA KWENYE MIJI YA MAKKAH NA MADINA?

HABARI KUU Mamia ya mahujaji wamefariki dunia na maelfu wanatibiwa kutokana na magonjwa yanayotokana na joto kali walipokuwa wanatekeleza ibada ya kila mwaka ya Hija mjini Makkah, Saudi Arabia, huku joto likifikia nyuzi 49 (Fahrenheit 120). Wakati CNN ikisema waliokufa ni mamia, India Today imetaja zaidi ya 1,000 na The Guardian la Uingereza limetaja watu… Continue reading KWANINI MAHUJAJI WANAKUFA KWENYE MIJI YA MAKKAH NA MADINA?

ORODHA YA MAJINA YA WALIOMUUA MTOTO ALBINO YAWEKWA WAZI

HABARI KUU Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Raia wema wanaochukia vitendo vya kinyama baada ya msako mkali kuanzia May 31, 2024 hadi usiku wa kuamkia leo June 19, 2024 wamefanikisha kukamatwa kwa Watu tisa wakiwa na viungo vinavyodhaniwa ni vya Mtoto Albino Asimwe Novart (aliyeuawa Wilayani Muleba Mkoani Kagera) wakiwa wamehifadhi katika vifungashio vya… Continue reading ORODHA YA MAJINA YA WALIOMUUA MTOTO ALBINO YAWEKWA WAZI

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner