THE 14 NEEDS OF A WIFE

HOW TO HELP A DRUNKARD HUSBAND

HELP, MY HUSBAND IS A DRUNKARD She opened the fridge and took out a cold Tusker and a bottle full of Johnnie Walker. She walked from the kitchen to the living room where her husband was sitting on the sofa, watching a late night movie. The children were asleep. She placed the Tusker and the… Continue reading HOW TO HELP A DRUNKARD HUSBAND

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa mkataba mmoja, hati za makubaliano (MOU) 2 na tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).

Mkataba huu utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa kiasi cha Dola za Kimarekani Bilioni 2.5 kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia (2024- 2028) kwa ajili ya miradi ya miundombinu ya maendeleo zinatolewa chini ya Mfuko waUshirikiano wa Maendeleo ya Uchumi wa Serikali ya Korea (EDCF). Ili kufungua milango zaidi ya ushirikiano wa kibiashara na… Continue reading Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa mkataba mmoja, hati za makubaliano (MOU) 2 na tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).

MANCHESTER UNITED YAICHAPA LIVERPOOL IKITINGA NUSU FAINALI YA FA

MICHEZO Manchester United imetinga nusu fainali ya kombe la FA England kufuatia ushindi wa 4-3 dhidi ya Liverpool katika dimba la Old Trafford kwenye robo fainali. FT: MAN UTD 2-2 LIVERPOOL (ET 4-3)⚽ McTominay 10′⚽ Antony 87′⚽ Rashford 112′⚽ Amad 120+2′⚽ Mac Allister 44′⚽ Salah 45+2′⚽ Elliott 105′ United imeungana na Manchester City, Chelsea na… Continue reading MANCHESTER UNITED YAICHAPA LIVERPOOL IKITINGA NUSU FAINALI YA FA

WACHEZAJI NYOTA WALIOWAHI KUKATAA KUSAJILIWA NA REAL MADRID

MICHEZO Sio rahisi kwa mchezaji mkubwa kukataa nafasi ya kucheza kwenye timu yenye mafanikio makubwa zaidi barani Ulaya kama Real Madrid. Lakini wapo watakaokataa kwasababu hakuna kinachopendwa na kila mtu. Hawa hapa wachezaji 5️⃣ Bora waliowahi kupiga chini ofa za Real Madrid 🇪🇸 1️⃣ LUIS SUAREZ 🇺🇾 “Wawakilishi wangu waliongea na Real Madrid na kila… Continue reading WACHEZAJI NYOTA WALIOWAHI KUKATAA KUSAJILIWA NA REAL MADRID

KOCHA ANCELOTTI AWAPA SOMO MAKOCHA VIJANA

MICHEZO. Kocha wa Real Madrid, Mkongwe, Don Carlo Ancelotti amezungumzia makosa ambayo makocha wa kizazi kipya wanafanya kwa wachezaji wao ambapo ameelezea utoaji wa maelekezo wakati mchezaji akiwa na mpira na pale ambapo hana mpira. Kocha huyo ambaye ni mshindi mara nne wa ligi ya Mabingwa Ulaya amebainisha kuwa kumpa mchezaji maelekezo mengi pindi awapo… Continue reading KOCHA ANCELOTTI AWAPA SOMO MAKOCHA VIJANA

SABABU YA HAZARD KUSTAAFU SOKA LA KULIPWA

MICHEZO Kiungo wa zamani wa Lile,Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard raia wa Ubelgiji ametangaza kustaafu kusakata kambumbu akiwa na tu umri wa miaka 32. Hazard ambaye alikuwa miongoni mwa wachezaji bora zaidi kuwahi kucheza Ligi kuu ya England akiwa Chelsea alihamia Real Madrid 2019 kwa ada ya uhamisho wa Euro milioni 115 lakini hakuweza… Continue reading SABABU YA HAZARD KUSTAAFU SOKA LA KULIPWA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner