WAZIRI MKUU AONYA MATUMIZI YA BANGI NA SKANKA
HABARI KUU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mbio za Mwenge mwaka huu zitaendelea kutoa hamasa kwa jamii kusitisha biashara na matumizi ya dawa za kulevya kwani bangi na mirungi zimeendelea…
HABARI KUU Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mbio za Mwenge mwaka huu zitaendelea kutoa hamasa kwa jamii kusitisha biashara na matumizi ya dawa za kulevya kwani bangi na mirungi zimeendelea…
HABARI KUU Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limetoa taarifa ya hitilafu ya kivuko cha abiria MV Malagarasi kinachofanya shughuli ya kuvusha abiria na mizigo mto Malagarasi eneo la llagala,…
HABARI KUU. Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Deogratias Ndejembi kuwa Waziri wa Kazi, Ajira Vijana na Wenye Ulemavu, akichukua nafasi ya Profesa Joyce Ndalichako ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Kabla ya…
NYOTA WETU Msanii wa BongoFleva Barakah The Prince amesema kama angeambiwa amchague msanii wakushindanishwa naye basi angemchagua Komando Lady Jaydee kwa sababu ndiyo msanii ambaye anaweza akamsikiliza na akapata kitu…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
MICHEZO Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amegeuka mbogo kwa Mwandishi wa habari aliyeuliza kwanini amemuazisha kijana Mdogo Mzize na kumuacha Joseph Guede mkomavi na mwenye uzoefu na Michuano mikubwa, wakati…
HABARI KUU Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Amechukua nafasi ya…
HABARI KUU Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutekeleza mpango wa kulipumzisha Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma kuanzia Mei 15 hadi Agosti 15, 2024 ambapo shughuli za uvuvi zitazuiwa…
HABARI KUU Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtuhumiwa aliyeonekana katika video ambayo ilisambaa katika mitaandao ya Kijamii na kupora vitu kwa mwananchi mmoja huko maeneo ya Burka…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.