DUNIA INGEKUWA NZURI KAMA TUNGEKUWA NA WANAWAKE HAWA
MASTORI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema Dunia tuliyopo sasa ingekuwa na nusu ya Viongozi Wanawake basi ingekua bora zaidi ya ilivyo hivi…
MASTORI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema Dunia tuliyopo sasa ingekuwa na nusu ya Viongozi Wanawake basi ingekua bora zaidi ya ilivyo hivi…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
HABARI KUU Shirika la ndege la Tanzania, Air Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege mpya aina ya Boeing 737-9 Max.Ndege hiyo mpya inatarajiwa kuwasili Tanzania March 26,2024 ikitokea Nchini Marekani, ili…
MAKALA Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, leo Agosti 20, ametangaza majina ya wagombea ubunge wa CCM waliopitishwa na Kamati ya Halmashauri kuu ya Taifa ya chama…
HABARI KUU Bunge la Tanzania limekanusha madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ambapo alidai kwamba mishahara ya Wabunge imeongezwa mwaka 2023 kutoka shilingi…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
MAKALA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Februari, 2024 Wizara kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT)…
HABARI KUU Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imewataka watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam wanaotaka kuajiriwa na Kampuni ya DP World kujitokeza kuorodhesha majina kabla ya Machi…
MASTORI Siku mbili baada ya watoto waliokuwa na uzito kupita kiasi, Imani na Gloria Joseph kuruhusiwa kutoka hospitalini, kilichobainika chatajwa, huku Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila ikiingia katika hatua ya pili…
HABARI KUU Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amemuelekeza Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini katika Wizara yake, kufuta jumla ya maombi na leseni za Madini 2,648 kwa wamiliki ambao hawajayaendeleza…