KOREA KASKAZINI YAWEKA SHERIA YA ULAJI NYAMA YA MBWA
Korea Kaskazini imepiga marufuku wananchi wake kufuga mbwa na kuishi nao kama sehemu ya familia, badala yake imetakiwa kufuga kwa ajili ya kula nyama na kuchuna ngozi yake kwa matumizi…
Korea Kaskazini imepiga marufuku wananchi wake kufuga mbwa na kuishi nao kama sehemu ya familia, badala yake imetakiwa kufuga kwa ajili ya kula nyama na kuchuna ngozi yake kwa matumizi…
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba Mkoa wa Kagera imewahukumu washitakiwa Philbert Mukaru White (37), mkulima, mkazi wa mtaa wa Kagondo Kaifo Bukoba na Lameck Tuinomukama Martine (25), Fundi mkazi wa…
MAKALA Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce Chandika amewashauri Wananchi kuzingatia mtindo bora wa maisha, ili kulinda figo zao. Dkt. Alphonce Chandika ametoa wito huo jijini…
HABARI KUU Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Deudatus Mwanyika leo tarehe 14 Machi, 2024 Imepokea na Kujadili Taarifa ya Waziri…
HABARI KUU Watu tisa wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Noah lenye namba za usajiri T795 BIS kusombwa na maji kwenye mto Kisimani katika Kijiji cha Lumeme…
NYOTA WETU Baada ya miaka kadhaa toka Staa wa Bongofleva Harmonize aondoke Lebo ya Wasafi (WCB) yake Diamond Platnumz hawajawahi kukutana kwa karibu lakini hii leo katika hafla fupi ya…
HABARI KUU Mkazi wa Kijiji cha Mashese, Daines Paul Mwashambo (30), ambaye alikuwa akishikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wawili kwa kuwanywesha sumu kutokana na msongo wa mawazo amefariki…
NYOTA WETU Mtangazaji wa kike wa Televisheni mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Kapinga Kisamba Clarisse amejizolea umaarufu baada ya kuonekana akiwa anasoma taarifa ya habari akiwa amembeba…
LOVE ❤ Carelessness is one of the major causes of affairs in marriage not the devil in the real sense of it as many people always claim when they fall…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.