RAIS ALI HASSAN MWINYI AFARIKI DUNIA
HABARI KUU Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Februari 29, 2024. Kifo cha Mzee Mwinyi kimetamgazwa na Rais Samia Suluhu Hassan.…
HABARI KUU Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Februari 29, 2024. Kifo cha Mzee Mwinyi kimetamgazwa na Rais Samia Suluhu Hassan.…
HABARI KUU Rais Samia Suluhu Hassan amesema Taifa la Tanzania litaendelea kutulia zaidi kwa kuwa linaongozwa na Mama ambaye kazi yake ni kulea, kustahimili na kuhakikisha nyumba ina usalama huku…
MAKALA 🗣️kwanza kabisa lazima tukubaliane ya kuwa sisi sio hii miili yetu ya kifizikia,Bali miili hii ni kibebeo tu cha Roho zetu Yani sisi wenyewe wa ndani. 👉Sote kwa pomoja…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
HABARI KUU Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mahamudu Mbwana, miaka 44, Mkazi wa Mbezi Madale, jijini Dar es Salaam, amefariki dunia akiwa na mpenzi wake, kwenye nyumba ya kulala…
HABARI KUU Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida…
HABARI KUU Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa amesema kufanikiwa kwa jaribio la safari ya treni ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro leo ni…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
HABARI KUU Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Jumanne Sagini amefika Jijini Arusha na kukagua eneo la ajali iliotokea jana katika barabara ya Arusha - Namanga, eneo…
HABARI KUU Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya barabarani iliyotokea Februari 24, 2024 maeneo ya Ngaramtoni Kibaoni, Arusha imefikia watu 25 na majeruhi 21.Ajali hiyo ilihusisha lori na magari…