YANGA YAWASILISHA MALALAMIKO HAYA CAF

MICHEZO Klabu ya Yanga imewasilisha malalamiko kwenda CAF kuhusu uwezekano wa makosa ya kiutawala na upangaji matokeo wakati wa mechi ya robo fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns iliyochezwa tarehe 05 Aprili 2024 kwenye Uwanja wa Loftus Versfeld mjini Pretoria, Afrika Kusini. Barua ya Mkurugenzi wa Sheria wa klabu hiyo, Adv. Simon Patrick kwenda CAF imebainisha… Continue reading YANGA YAWASILISHA MALALAMIKO HAYA CAF

“DOING MUSIC WAS NOT MY DREAM I WANTED TO PLAY FOR BARCELONA ” ZLATAN

Nigerian artist Zlatan Ibile has disclosed that he fell into music by accident and that his dream has always been to play for FC Barcelona. Zlatan Ibile revealed that his dream job was to be a football player after he struggled in secondary school. However, he claimed that the football system was corrupt, which prevented… Continue reading “DOING MUSIC WAS NOT MY DREAM I WANTED TO PLAY FOR BARCELONA ” ZLATAN

“I THOUGHT WIZKID WAS A SPIRIT BEFORE I MET HIM” BNXN

OUR STAR 🌟 Popular singer, BNXN, formerly known as Buju has disclosed his bromance with his colleague, Wizkid and how he felt about him before they met. On Morning Runs with Naija 102.7 FM, BNXN asserted that even though he doesn’t know what he used to achieve it, Wizkid always replies him. He also said… Continue reading “I THOUGHT WIZKID WAS A SPIRIT BEFORE I MET HIM” BNXN

WHY YOU SHOULD CREDIT YOUR MAN THIS EASTER- PatorankingDiscoverCars.com

OUR STAR 🌟 Famous singer, Patoranking reveals why ladies ought to credit their man during this Easter celebration. The musician took to his social media page to speak on the Easter festivity as he reminded them of who was nailed on the cross. Patoranking noted that it was a man that was nailed on the… Continue reading WHY YOU SHOULD CREDIT YOUR MAN THIS EASTER- PatorankingDiscoverCars.com

SIMBA YAKUBALI KICHAPO MBELE YA AL AHLY

MICHEZO Wekundu wa Msimbazi Simba SC imekubali kipigo cha 1-0 nyumbani dhidi ya Al Ahly ya Misri kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza ligi ya mabingwa Afrika Kipigo hicho kimetengeneza mlima wa kupanda kwa Simba SC kuelekea mchezo wa marudiano utakaopigwa Cairo Mechi tano zilizopita kati ya Al Ahly na Simba. Ligi ya Soka ya… Continue reading SIMBA YAKUBALI KICHAPO MBELE YA AL AHLY

ISSA HAYATOU AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS RAIS wa zamani wa Shirikisho la soka Afrika (CAF) Issa Hayatou ambaye alihudumu kama rais wa shirikisho hilo kwa muda mrefu amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 77. Hayatou raia wa Cameroon alizaliwa 9 Agosti 9, 1946 na alihudumu kama kama rais wa CAF kati ya mwaka 1988 na 2017.

NYOTA WA CHELSEA WANAOTARAJIWA KUUZWA

MICHEZO Klabu ya Chelsea ina matumaini ya kuwauza baadhi ya mastaa wa kikosi cha kwanza katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi. Nyota hao ni pamoja na beki Trevoh Chalobah mwenye umri wa miaka 24, na Mshambuliaji Armando Broja mwenye umri wa miaka 22. Mastaa hao wamekuwa wakihusishwa kuondoka tangu dirisha lililopita la majira ya… Continue reading NYOTA WA CHELSEA WANAOTARAJIWA KUUZWA

WAFAHAMU WAAMUZI WA YANGA NA AL AHLY

MICHEZO Mechi kati ya Al Ahly na Young Africans itachezeshwa na Refa Djindo Houngnandande kutoka Benin, wakati mchezo wa Simba SC na Jwaneng Galaxy utakuwa chini ya usimamizi wa Refa Daniel Nii Laryea kutoka Ghana. Refa Houngnandande kutoka Benin anakumbukwa na Young Africans kwa kuchezesha mechi yao ya ugenini kwenye Kombe la Shirikisho Barani Afrika… Continue reading WAFAHAMU WAAMUZI WA YANGA NA AL AHLY

DAVIDO KUCHANGIA MILIONI 500 KWA YATIMA

MICHEZO Nyota wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Davido ametangaza kuwa atachangia Naira milioni 300 (shilingi milioni 500) kwenye vituo vya watoto yatima nchini humo. Davido, ambaye jina lake halisi ni David Adeleke, kwa miaka ya karibuni amekuwa akito misaada kwa jamii ambapo mwaka 2021 aligawa Naira milioni 250 (takribani shilingi milioni 320) kwa vituo… Continue reading DAVIDO KUCHANGIA MILIONI 500 KWA YATIMA

EMILIO NSUE LOPEZ AMETANGAZA KUSTAAFU SOKA

MICHEZO NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Guinea ya Ikweta, Emilio Nsue ametangaza kustaafu soka la kimataifa akiwa na umri wa miaka 34. Nsue ambaye anachezea klabu ya Intercity ya Uhispania alikuwa mfungaji bora wa michuano ya kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023 akiwa na magoli matano. Nsue ameichezea Equatorial Guinea mechi 42 huku akipachika… Continue reading EMILIO NSUE LOPEZ AMETANGAZA KUSTAAFU SOKA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner