TUZO ZA GRAMMY NI MFUPA MGUMU KWA DIAMOND

NYOTA WETU. Licha ya mafanikio makubwa waliyopata Diamond Platinumz na Rema kwa hivi karibuni kwa kushinda tuzo kubwa Duniani lakini hawajafanikiwa kugusa kwenye list ya wasanii wanaowania tuzo za 66 za Grammy zilizotangazwa Novemba 11,2023. Diamond Platinumz ni Best African Act kupitia tuzo za MTV European Music Awards 2023 na kuweka rekodi ya kuwa msanii… Continue reading TUZO ZA GRAMMY NI MFUPA MGUMU KWA DIAMOND

DIAMOND PLATINUMZ KWA ORODHA YA WANAWAKE HII KAJIFUNZA

NYOTA WETU. Toka kwenye uumbaji imeonekana Mwanamke ana nguvu sana kwenye mahusiano yoyote. MUNGU alipomuumba Adam na Eva (Hawa) ,agizo la kwanza alilompa Adam ni kutokula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya. Katika hali isiyo ya kawaida kwa ushawishi wa Mwanamke (Eva) ,Adam alimkosea MUNGU na kula matunda. Hali ilienda mpaka kwenye… Continue reading DIAMOND PLATINUMZ KWA ORODHA YA WANAWAKE HII KAJIFUNZA

JUX NA DIAMOND PLATINUMZ wAPATA PIGO

Michezo Video ya wimbo “Enjoy ” wa mwanamziki Juma Jux aliyomshirikisha Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinum imeondolewa kwenye mtandao wa YouTube kwasababu ya masuala ya haki miliki. Akizungumza na kituo cha Habari cha Mpenja TV, Mwanamziki kutokea nchini Congo ,Sapologuano Odenumz ambaye ndiye alyeondoa “audio” ya wimbo huo mwezi mmoja uliopita amesema sababu za kuondoa… Continue reading JUX NA DIAMOND PLATINUMZ wAPATA PIGO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner