SABABU ZA BENKI YA BIASHARA YA ETHIOPIA KUPOTEZA PESA

HABARI KUU Benki kubwa kuliko zote nchini Ethiopia imeendelea na mchakato wa kujaribu kurudisha pesa zote zilizotolewa baada ya kupatwa na hitilafu ya kiufundi. Benki ya biashara ya Ethiopia (CBE) imeripotiwa kupoteza takribani pauni milioni 32 baada ya wateja kujitolea pesa nyingi kuliko walizokuwa nazo kwenye akaunti zao. Taarifa za hitilafu hiyo zilisambazwa katika mitandao… Continue reading SABABU ZA BENKI YA BIASHARA YA ETHIOPIA KUPOTEZA PESA

WAZIRI MKUU ETHIOPIA KUZURU TANZANIA

HABARI KUU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili Nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia February 29 hadi March 02, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba… Continue reading WAZIRI MKUU ETHIOPIA KUZURU TANZANIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner