EMERSE FAÉ ATEULIWA KUWA KOCHA MKUU WA CÔTE D’IVOIRE

MICHEZO Shirikisho la soka Nchini Ivory limemteua Emerse Faé kuwa Kocha Mkuu wa kudumu wa timu ya Taifa hilo kufuatia mwenendo mzuri wa ‘The Elephants’ kwenye AFCON 2023. Faé aliteuliwa kuwa Kocha wa muda wa Ivory Coast baada ya Mfaransa Jean-Louis Gasset (70) kutupiwa virago kufuatia mwanzo mbaya kwenye AFCON 2023 uliopelekea Ivory Coast kufuzu… Continue reading EMERSE FAÉ ATEULIWA KUWA KOCHA MKUU WA CÔTE D’IVOIRE

SAMUEL ETO’O AINGIA MATATANI CAMEROON DiscoverCars.com

Michezo Nafasi ya Samuel Eto’o ipo mashakani kama Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Cameroon (FECAFOOT) kutokana na barua iliotumwa kwa shirikisho la soka ulimwenguni (FIFA) na maafisa wa mpira wa miguu kutoka nchini humo wakishinikiza Eto’o ajiuzulu kutokana na kashfa kadhaa ikiwemo ya kupanga matokeo. Kundi hilo ambalo ni pamoja na Rais wa… Continue reading SAMUEL ETO’O AINGIA MATATANI CAMEROON DiscoverCars.com

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner