Gharama Halisi za Kupata Leseni ya Kutengeneza Maudhui YouTube Tanzania
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kanuni zake za sasa ni rafiki zaidi ikilinganishwa na namna ilivyokuwa miaka mitatu iliyopita katika vigezo vya utoaji na ufungiaji leseni za uchapishaji maudhui…