KWA DOCUMENTARY HII NITAWASHANGAA WANAYANGA WASIPOVUNJA REKODI KWA KUITAZAMA

Makala Fupi Watu wanakuja na kuondoka,maisha yanakuja na kupita,matukio nayo yanakuja na kuondoka huku matukio haya yakiletwa na kuja kupitia watu tena watu wa wakati husika,yawe mabaya au mazuri yote kwa yote yataleta furaha na huzuni ambazo baada ya muda huzaa kumbukumbu. Kupitia matukio ndipo alama hupatikana ,ndipo heshima huongezeka ndipo tofauti ya watu kwenye… Continue reading KWA DOCUMENTARY HII NITAWASHANGAA WANAYANGA WASIPOVUNJA REKODI KWA KUITAZAMA

MAGAZETI YA LEO AGOSTI 8,2023

Dar es salaam Hujambo? Mtanzania popote pale ikiwa ni mapumziko ya hivi leo kwenye sherehe za nanenane ambazo kitaifa zinafanyika Mkoani Songwe na Mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Taarifa kubwa kwenye magazeti ya leo ni kuhusu siku ya wakulima hivi leo ikiwa ni siku ya wakulima… Continue reading MAGAZETI YA LEO AGOSTI 8,2023

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

Dar es salaam Mpemzi msomaji wa Magazeti ni asubuhi nyingine tena ambapo leo magazeti yana habari kuhusu Simba Day na Janga la Moto Ubungo. Magazeti ya hivi leo karibu yote yameandika kuhusu Simba Day ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu ambaye kati ya mengi aliyosema ni kuhusu kuipongeza Simba na Ubunifu… Continue reading KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

Dar es salaam Miongoni mwa rekodi ambayo nyota wa Bongo Fleva Diamond Platinum amekuwa nayo kwa muda ni kuwa na ufuasi wa watu wengi kwenye mtandao wa kijamii wa YouTube. Kwasasa taarifa ikufikie ya kwamba mkali wa Nigeria Burna boy anaenda kuivunja rekodi hiyo kitu kitakachofanya sasa Wanigeria wawe wanamiliki kila aina ya mafanikio hasa… Continue reading DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

ELON MUSK NDIYE MTU TAJIRI ZAIDI DUNIANI

Dar es salaam Jarida linaloangazia masuala ya fedha ,viwanda,uwekezaji na masoko la Marekani la Forbes,limemtaja Elon Musk kuwa ndiye mtu tajiri zaidi Duniani akiwa na utajiri wenye thamani ya dola bilioni 241.3. ORODHA YA WATU 10 WENYE MKWANJA ZAIDI DUNIANI KWENYE JARIDA HILI WAPO NA, Elon Musk _ dola bilioni 241.3 Huyu ni mmiliki wa… Continue reading ELON MUSK NDIYE MTU TAJIRI ZAIDI DUNIANI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner