(Click on the star on form card to select)
Sababu zinazosababisha “Allergy ” /mzio
Mzio hutokea pale mwili unapopambana na kitu kisicho na madhara kwa kawaida, kama vile poleni, manyoya ya wanyama, au vyakula fulani. Vitu hivi vinavyosababisha mzio huitwa "Allergens". Sababu zinazoweza kusababisha…