(Click on the star on form card to select)
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la amani duniani Kanda ya Tanzania (Universal Peace federation- UPF) kwa miaka miwili baada ya kukabidhiwa na Balozi wa shirikisho la amani duniani bara la Afrika UPF Adama Doumbia.
Lengo la Uenyekiti huo ni kuhamasisha amani miongoni mwa watanzania bila kubagua dini, Madhehebu, mila, Viongozi wa Chama na serikali, Wabunge na wananchi kuanzia ngazi ya mtu mmoja, familia hadi…