Kwanini Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) limechelewa kutumika ?
Daraja la John Magufuli (Kigongo- Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3.0 na Barabara unganishi Kilomita 1.66 linatarajiwa kuanza kutumika Disemba 30 mwaka huu likiunganisha Barabara Kuu ya Usagara- Sengerema- Geita…