WHAT INSPIRES FAITHFULNESS IN MARRIAGE

LOVE ❤ 1. VISIONVision gives one a reason to stay committed. When you have a vision of the kind of marriage you want to have and the kind of spouse you are working to become, you stay true even when it gets tough 2. FEARWhen you value what you have with your spouse and all… Continue reading WHAT INSPIRES FAITHFULNESS IN MARRIAGE

FC BARCELONA KUMUUZA ANSU FATI

MICHEZO Klabu Bingwa nchini Hispania FC Barcelona imesema inatarajia kumuuza mchezaji wake Ansu Fati mwishoni mwa msimu huu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anayekipiga kwa mkopo katika timu ya Brighton ya nchini England, atauzwa mwishoni mwa msimu huu kwenda timu watakayofikia mwafaka. Taarifa iliyotolewa katika mtandao wa klabu ya Barcelona, ilisema kuwa wanatarajia… Continue reading FC BARCELONA KUMUUZA ANSU FATI

SABABU VINICIUS JR KUBAGULIWA ZAIDI VIWANJANI

NYOTA WETU Winga wa Brazil na Real Madrid Vinicius Jr (23) amelia kwa uchungu wakati akielezea ubaguzi anaoupitia nchini Uhispania. Akizungumza na waandishi wa kuelekea mechi kati ya Brazil na Hispania, Vinicius alionekana kuwa na hisia kubwa. “Mimi nataka kucheza soka tu, ila hii hali inanifanya nikose hamasa ya kucheza”. Mechi hiyo ya kirafiki inayolenga… Continue reading SABABU VINICIUS JR KUBAGULIWA ZAIDI VIWANJANI

CARLO ANCELOTTI MATATANI KWA UKWEPAJI KODI

NYOTA WETU Meneja wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti (64) anakabiliwa na kifungo cha takribani miaka mitano jela baada ya kutuhumiwa kwa makosa ya ulaghai wa kodi nchini Hispania. Waendesha Mashtaka wa Serikali wamemtuhumu Kocha huyo mwenye asili ya Italia kwa kutumia mfumo wenye kuchanganya chini ya Makampuni ya shell ili kuficha sehemu kadhaa… Continue reading CARLO ANCELOTTI MATATANI KWA UKWEPAJI KODI

LUIS ENRIQUE KURUDI FC BARCELONA

MICHEZO FC Barcelona imeripotiwa kuwa na mpango wa kumrudisha kocha wake wa zamani anayeinoa Paris Saint-Germain kwa sasa, Luis Enrique kurudi kupiga mzigo Camp Nou. Mabingwa hao watetezi wa La Liga wataagana na kocha wao Xavi mwishoni mwa msimu huu baada ya kutangaza kwamba ataondoka ili aje mtu mwingine mwenye mawazo tofauti. Xavi alibainisha hilo… Continue reading LUIS ENRIQUE KURUDI FC BARCELONA

BARCELONA YAMUONDOA DANI ALVES KWENYE ORODHA YA NYOTA WAKE

MICHEZO Klabu ya Barcelona imemuondoa Dani Alves kwenye orodha ya wachezaji ambao walikuwa wanaheshimika kama magwiji wa klabu katika historia kwenye tovuti rasmi ya klabu ya Barcelona. Ingawa FC Barcelona haijatoa maoni rasmi, inaaminika kuwa kitendo hicho cha kumuondoa Alves kwenye tovuti kinaashiria kuwepo kwa tahadhari ndani ya klabu kuhusiana na hali anayokumbana nayo Mbrazil… Continue reading BARCELONA YAMUONDOA DANI ALVES KWENYE ORODHA YA NYOTA WAKE

CARLO ANCELOTTI AKIRI NI VIGUMU KUMUACHA LUKA MODRIC

MICHEZO Kocha Mkuu wa Real Madrid Carlo Ancelotti amekiri ni vigumu kumuacha Luka Modric kwenye benchi baada ya kiungo huyo mkongwe kufunga bao zuri katika ushindi wa 1-0 wa Real Madrid dhidi ya Sevilla mwishoni mwa juma lililopita. Modric mwenye umri wa miaka 38 ambaye ameanza mechi 11 pekee za ligi msimu huu aliingizwa kutoka… Continue reading CARLO ANCELOTTI AKIRI NI VIGUMU KUMUACHA LUKA MODRIC

SIRI WANIGERIA KUKOSA TUZO ZA GRAMMY ZA 65

MICHEZO Kama kuna kitu wasanii wa Nigeria walikuwa na uhakika nacho katika tuzo za 66 za Grammy 2024, ni kuondoka na ushindi mnono kutokana na kuchaguliwa kuwania vipengele vingi ,pamoja na kupewa kutumbuiza lakini wameangukia pua. Tuzo hizo zilizoanzishwa mnamo mwaka 1959 mwezi Mei 4 zikifahamika kama Gramophone, zilitolewa mapema jumapili ya Februari 4,2024 kwenye… Continue reading SIRI WANIGERIA KUKOSA TUZO ZA GRAMMY ZA 65

RAMOS AENDELEZA VITA YAKE NJE YA UWANJA KWA PIQUE

NYOTA WETU Sergio Ramos alimkabidhi Shakira tuzo usiku wa jana,Novemba 17 huko Seville kwa wimbo bora wa mwaka mzima kwenye Latin Grammy ,ambao ni wimbo wa kumdhihaki (diss tune) aliyekuwa mpenzi wake , Gerald Pique . Tune inaitwa “Bzrp Music Sessions, vol 53. Shakira na Karol G wamekuwa washindi wakubwa kwenye Latin Grammy Awards ya… Continue reading RAMOS AENDELEZA VITA YAKE NJE YA UWANJA KWA PIQUE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner