13 BEST REASON WHY HUMILITY IS IMPORTANT IN MARRIAGE

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO

Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

NDEGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS YAPOTEA

HABARI KUU Ndege ya kijeshi iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Malawi na watu wengine tisa imepotea siku ya leo Jumatatu 10 Juni 2024 na msako unaendelea, ofisi ya Rais wa Malawi imesema. Ndege iliyombeba Makamu wa Rais wa Malawi “Saulos Chilima” mwenye umri wa miaka 51 iliondoka katika mji mkuu wa Malawi “Lilongwe”, lakini… Continue reading NDEGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS YAPOTEA

DAWA YA UZAZI WA MPANGO KWA WANAUME YAPATIKANA NA HIVI NDIVYO ITATUMIKA

Baada ya miaka kadhaa ya kusubiri njia mbadala za uzazi wa mpango kwa Wanaume, Watafiti wamesema hatimaye wamepiga hatua kubwa katika chaguo mahususi kwa ajili ya Wanaume ambapo bidhaa ya majaribio ya uzazi wa mpango ambayo ipo kwa mfano wa mafuta (gel) itakuwa ikipakwa na Wanaume kwenye mabega yao mara moja kwa siku na kisha… Continue reading DAWA YA UZAZI WA MPANGO KWA WANAUME YAPATIKANA NA HIVI NDIVYO ITATUMIKA

WHY YOU SHOULD TEACH YOUR CHILD/CHILDREN ABOUT GOD

During menstruation, there are no specific activities that women universally should avoid, but there are some common recommendations and considerations to help manage comfort and health:

Here some few tips; 1) Avoid Overexertion:While exercise can help alleviate cramps and improve mood, it’s important to listen to your body and avoid overly strenuous activities if you’re feeling fatigued or in pain. 2) Skip Tampons if Risk Factors for TSS:If you have a history of Toxic Shock Syndrome (TSS) or have certain risk… Continue reading During menstruation, there are no specific activities that women universally should avoid, but there are some common recommendations and considerations to help manage comfort and health:

JE NI NJIA IPI SALAMA YA KUJIFUNGUA MTOTO?

AFYA Kujifungua ni tukio muhimu na la kipekee katika maisha ya mwanamke.Njia za kujifungua zina jumuisha kujifungua kwa kawaida (vaginal delivery) na kujifungua kwa upasuaji (caesarean section).Na kila njia ina faida na hatari zake, na uamuzi wa njia bora unategemea hali ya afya ya mama na mtoto, pamoja na mapendekezo ya kitaalamu. Maelezo ya kina… Continue reading JE NI NJIA IPI SALAMA YA KUJIFUNGUA MTOTO?

KISUKARI CHA MIMBA NI UGONJWA GANI?

AFYA Kisukari cha mimba ni aina ya ugonjwa wa kisukari ambao huwapata wanawake wakati wa ujauzito.Hali hii hutokea wakati mwili hauwezi kuzalisha insulini ya kutosha ili kukidhi mahitaji ya ujauzito, na hivyo kusababisha viwango vya sukari kuwa juu zaidi kwenye damu.Yafuatayo ni maelezo ya kina kuhusu kisukari cha mimba, athari zake, na jinsi ya kuudhibiti:-… Continue reading KISUKARI CHA MIMBA NI UGONJWA GANI?

JE KUNA MADHARA YA KUTOA MIMBA?

Kabla hujafikiria kutoa mimba, ni muhimu kufahamu matokeo mabaya kiafya yanayoweza kujitokeza siku za mbele baada ya kufanya kitendo hichi, hasa kwenye swala zima la uzazi. NINI KINATOKEA BAADA YA KUTOA MIMBA? -Wanawake wengi hupata dalili hizi siku chache baada ya kutoa mimba, dalili ambazo zinaweza kuchukua mpaka siku 21 kuisha 1.kutokwa damu kwa week… Continue reading JE KUNA MADHARA YA KUTOA MIMBA?

Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kiume

AFYA Kumekuwa na imani nyingi kuhusu dalili za mimba ya mtoto wa kiume katika mimba Changa na kina mama wengi wajawazito wanakuwa na shauku kubwa kujua jinsia za watoto wao waliopo tumboni mapema kabla ya kujifungua. Mojawapo ya imani hizo ni kama; 4.Mama mwenye mtoto wa kiume tumboni hupendelea kula vyakula vichungu kama ukwaju,Ndimu mbichi… Continue reading Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kiume

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner