“I regret making song about my ex” Adekunle Gold

Singer Adekunle Gold has expressed regret over writing a song about his ex-girlfriend who broke his heart. The song, “Damn Delilah,” featured on his debut album “About 30,” captures his feelings of heartbreak. In celebration of the album’s sixth anniversary, the singer shared the album cover on his X handle on Sunday, May 27, with… Continue reading “I regret making song about my ex” Adekunle Gold

Rais Jakaya Kikwete kinara wa kutafuta fedha za uwekezaji kwenye Elimu

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB 2024 Annual Meeting) unaofanyika jijini Nairobi, Kenya tarehe 26 – 28 Mei, 2024. Ametumia fursa ya kushiriki Mkutano huo kuzungumza na vongozi mbalimbali,… Continue reading Rais Jakaya Kikwete kinara wa kutafuta fedha za uwekezaji kwenye Elimu

Nchini Korea Kaskazini kama “Birthday” yako ni tarehe 8 Julai au 17 Desemba basi huna bahati, kwani hairuhisiwi kusherehekea siku yako ya kuzaliwa.

Sababu kubwa ni kwamba tarehe hizo Baba wa Taifa hilo “Kim Il-Sung” na “Kim Jong-Il” walifariki, hivyo ni onyo kuonesha dalili yoyote ya furaha kama ni siku yako ya kuzaliwa. “Kim Il-Sung” ndiye Mwanzilishi wa Nchi ya Korea Kaskazini Mnamo mwaka 1948, pia alikuwa Kiongozi Mkuu (Supreme Leader) wa kwanza wa nchi hiyo Kuanzia Mwaka… Continue reading Nchini Korea Kaskazini kama “Birthday” yako ni tarehe 8 Julai au 17 Desemba basi huna bahati, kwani hairuhisiwi kusherehekea siku yako ya kuzaliwa.

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la amani duniani Kanda ya Tanzania (Universal Peace federation- UPF) kwa miaka miwili baada ya kukabidhiwa na Balozi wa shirikisho la amani duniani bara la Afrika UPF Adama Doumbia.

Lengo la Uenyekiti huo ni kuhamasisha amani miongoni mwa watanzania bila kubagua dini, Madhehebu, mila, Viongozi wa Chama na serikali, Wabunge na wananchi kuanzia ngazi ya mtu mmoja, familia hadi taifa. Makabidhiano hayo yanefanyika kwenye hafla fupi jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Jumuiya na Mashirikisho ya Amani ya dini, madhehebu… Continue reading Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la amani duniani Kanda ya Tanzania (Universal Peace federation- UPF) kwa miaka miwili baada ya kukabidhiwa na Balozi wa shirikisho la amani duniani bara la Afrika UPF Adama Doumbia.

WHAT YOU MUST DO BEFORE YOUR RELATIONSHIP CAN WORK

You need to agree on mode of communication and how to make most of the calls and chats each other. I suggest the call and chatting should be balanced. Empty pocket won’t buy Airtime and subscribe for data. If you are the only one who initiates all the calls, chats or visit, then your relationship… Continue reading WHAT YOU MUST DO BEFORE YOUR RELATIONSHIP CAN WORK

Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial (28) amethibitisha kuondoka ndani ya kikosi hicho baada ya msimu huu kumalizika wiki iliyopita, huku akiiandikia timu hiyo ujumbe mzito.

Martial raia wa Ufaransa kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa “Kwenu mashabiki wa Manchester United, ni kwa majonzi makubwa kuwaandikia leo kuwaaga na kusema kwaherini. “ Baada ya miaka tisa kuwa pamoja katika klabu, wakati umefika wa mimi kuondoka na kufungua ukurasa mpya katika taaluma yangu hii ya Soka. Tangu nilipojiunga klabuni mwaka wa… Continue reading Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial (28) amethibitisha kuondoka ndani ya kikosi hicho baada ya msimu huu kumalizika wiki iliyopita, huku akiiandikia timu hiyo ujumbe mzito.

MAGAZETI YA LEO 28 MEI 2024

WHY SOME PEOPLE DON’T ENJOY SEX

14..SAME OLD ROUTINEBoredom eventually makes you get tired of sex, sex shouldn’t always be predictable. Be creative in bed, your sexlife depends on it.

Kwanini Patrice Motsepe alisema goli la Young Africans lilikuwa halali?

Ijumaa iliyopita Asubuhi Rais wa CAF, Patrice Motsepe alikuwa katika ardhi ya Tanzania Visiwani Zanzibar. Motsepe alikuja kwa ajili ya Mashindano ya Fainali za African Schools Football. Baadae muda mfupi tukaona stori ikitembea mitandaoni kuwa Motsepe amekubali bao alilofunga Stephane Aziz KI pale kwa Madiba dhidi ya Mamelodi Sundowns lilikuwa bao halali. Ni kichekesho, Kwanini… Continue reading Kwanini Patrice Motsepe alisema goli la Young Africans lilikuwa halali?

QUALITIES OF A GOOD CUSTOMER CARE OFFICER

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner