NCHI YA DOMINICA NA SHERIA NZURI YA KUZUIA NDOA KUVUNJIKA

MAPENZI Wakubwa wanasema ndoa ni muungano kati ya watu wawili au zaidi unaokubaliwa na kuheshimiwa na jamii na tukio la kuanzishwa kwa ndoa huitwa harusi, ila kabla ya ndoa kuna kipindi cha uchumba ambapo wawili waliokubaliana huchunguzana tabia na kujifunza au kujuana zaidi kabla ya kufunga pingu za maisha na kama wawili hao wataamua kukomesha… Continue reading NCHI YA DOMINICA NA SHERIA NZURI YA KUZUIA NDOA KUVUNJIKA

SANAMU LA KYLIAN MBAPPE LAZUA GUMZO DUNIANI

MICHEZO Mchezaji wa zamani wa PSG, Kylian Mbappe siku ya jana Mei 16, 2024 huko Paris nchini Ufaransa, alizindua sanamu lake katika Nyumba ya Makumbusho ya Madame Tussauds, na kuzua gumzo kutokana na kufanana kwa kiasi kikubwa na mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa. Wakati wa hafla hiyo iliyohudhuriwa na Baba yake Mbappe (Wilfrid) na… Continue reading SANAMU LA KYLIAN MBAPPE LAZUA GUMZO DUNIANI

Caicedo finally justifies his record £116 million

SPORTS Perhaps no player epitomizes Chelsea’s recent rise more than Moises Caicedo. The midfielder is finally showing why he has become the most expensive signing in Premier League history. Chelsea were 10th at the start of 2024, but since then only three teams have accumulated more points. Now Mauricio Pochettino’s team is leading the race… Continue reading Caicedo finally justifies his record £116 million

21 WAYS OF WHAT LOVE MEANS

LOVE TIPS ❤ 1. Forgiving before an apology is made 2. Apologising when you wrong because hurting your partner hurts you 3. Hugging tightly when no words can be said 4. Sharing a meal because food brings people together 5. Kissing more than the lips; kiss the forehead, shoulders, fingers and cheek 6. Saying “I… Continue reading 21 WAYS OF WHAT LOVE MEANS

30 WAYS TO BRING ROMANCE BACK TO YOUR RELATIONSHIP OR MARRIAGE WITHOUT INVOLVING SEX

LOVE TIPS ❤ We always mistake romance whenever it’s mentioned as sex or sexually related. But romance is actually anything you do to your partner that communicate and show that him/her is special to you. Here are a few examples. 1. Giving your partner a special name that you wouldn’t call any other person such… Continue reading 30 WAYS TO BRING ROMANCE BACK TO YOUR RELATIONSHIP OR MARRIAGE WITHOUT INVOLVING SEX

Mayorkun claims to have no familiarity with Nicki Minaj

CELEBRITIES Musician Mayorkun, claims to have no familiarity with Nicki Minaj (Nicki DaBarbie) despite her detention he has declared his plan to pursue legal action against Minaj. Prominent Nigerian singer Mayorkun has denied accusations of wrongdoing made by controversial influencer Nicki DaBarbie after her arrest. On social media, the artist publicly rejected accusations made against… Continue reading Mayorkun claims to have no familiarity with Nicki Minaj

Ziara ya Vladmir Putin China yazua wasiwasi kwa Marekani na washirika wake

HABARI KUU Rais wa Urusi, Vladmir Putin yupo nchini China kwa ziara ya kikazi ya siku mbili akiendeleza mazungumzo na mwenyeji wake Rais Xi Jinping ambaye amesema ana matumaini ya kurejea kwa amani barani Ulaya na kwamba China itahakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa mujibu wa Mtaalamu wa Masomo ya Kimkakati na ulinzi, Matthew Sussex amesema… Continue reading Ziara ya Vladmir Putin China yazua wasiwasi kwa Marekani na washirika wake

Antonio Conte na Napoli kama kimeeleweka

MICHEZO Wawakilishi wa SSC Napoli walikutana na Antonio Conte mjini Turin, wakati AC Milan wanaonekana kama hawana nia tena ya kumchukua kocha huyo kutoka nchini Italia. Inadaiwa SSC Napoli ilikutana na Conte huko Turin, ikimuahidi ofa kocha huyo wa zamani wa Juventus na Inter Milan kiasi cha Euro milioni 6.5 (sawa na Sh Bilioni 18)… Continue reading Antonio Conte na Napoli kama kimeeleweka

MAMBO MAKUU 4 YA KUZINGATIA KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOA

MAPENZI Fahamu mambo 4 muhimu unayopaswa kuyazingatia uwapo chumbani na mpenzi wako mnapotaka kufanya mapenzi 1. WEKEZA MAWAZO YAKO KWA MPENZI WAKOPindi uwapo chumbani na mpenzi wako jaribu kuwekeza mawazo yako kwa mpenzi wako ulie nae kwa muda ule, epuka kufikiria mambo ya nje yaliyotendeka usiyape nafasi mawazo yako kufikiria vitu vingine. Unapokuwa chumbani na… Continue reading MAMBO MAKUU 4 YA KUZINGATIA KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOA

MATESO ANAYOPITIA RAIS ALIYEPINDULIWA NA JESHI ALI BONGO

HABARI KUU Rais wa Gabon aliyeondolewa madarakani, Ali Bongo pamoja na wanawe wawili wameanza mgomo wa kula wakilalamikia “vitendo vya mateso na ukatili” wanavyofanyiwa, mawakili wa familia hiyo wamesema. Bongo aliondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi mwezi Agosti mwaka jana, muda mfupi baada ya kushinda kura za urais. Kisha alizuiliwa nyumbani kwake katika mji mkuu,… Continue reading MATESO ANAYOPITIA RAIS ALIYEPINDULIWA NA JESHI ALI BONGO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner