Licha ya msimu ujao Simba sc kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika, lakini wataanzia katika mzunguko wa pili wa michuano hiyo, huku Yanga sc watakaocheza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika nao wakianzia hatua hiyo.

Mashindano ya CAF msimu wa 2024/25 yataanza kwa raundi ya awali kati ya Agosti 16 hadi 18 Agosti, 2024 huku hatua za makundi zikipangwa Oktoba hadi mwezi Desemba mwaka 2024.…

Continue ReadingLicha ya msimu ujao Simba sc kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika, lakini wataanzia katika mzunguko wa pili wa michuano hiyo, huku Yanga sc watakaocheza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika nao wakianzia hatua hiyo.

Matajiri wa Chama cha Republican wanamuunga mkono Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kufuatia kesi ya kihistoria dhidi yake na kukutwa na hatia ya uhalifu.

Bilionea wa Cassino wa Israel na Marekani Miriam Adelson anatarajiwa kutangaza nyongeza ya Mamilioni ya Dolla kwa kampeni ya Trump wiki hii. Kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya…

Continue ReadingMatajiri wa Chama cha Republican wanamuunga mkono Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kufuatia kesi ya kihistoria dhidi yake na kukutwa na hatia ya uhalifu.

Mmiliki tajiri wa vyombo vya habari duniani, Rupert Murdoch amevuta jiko kwa mara ya kwa mara ya tano katika sherehe iliyofanyika katika shamba lake la mizabibu huko California.

Murdoch mwenye umri wa miaka 93 amefunga ndoa hiyo jana Jumamosi na mkewe mpya Elena Zhukova mwenye umri wa miaka 67 ambaye ni mwanabiolojia mstaafu wa Urusi. Kwa mujibu wa…

Continue ReadingMmiliki tajiri wa vyombo vya habari duniani, Rupert Murdoch amevuta jiko kwa mara ya kwa mara ya tano katika sherehe iliyofanyika katika shamba lake la mizabibu huko California.

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa mkataba mmoja, hati za makubaliano (MOU) 2 na tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).

Mkataba huu utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa kiasi cha Dola za Kimarekani Bilioni 2.5 kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia (2024- 2028) kwa ajili ya miradi ya miundombinu…

Continue ReadingRais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa mkataba mmoja, hati za makubaliano (MOU) 2 na tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kuwa hakutakuwa na usitishaji vita ya kudumu huko Gaza hadi pale uwezo wa kijeshi na uongozi wa Hamas utakapoangamizwa na mateka wote waachiliwe.

Kauli yake inafuatia baada ya Rais wa Marekani Joe Biden kutangaza kuwa Israel imependekeza mpango wa hatua tatu kwa Hamas unaolenga kufikia usitishaji vita ya kudumu. Mwanasiasa mkuu wa Hamas…

Continue ReadingWaziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kuwa hakutakuwa na usitishaji vita ya kudumu huko Gaza hadi pale uwezo wa kijeshi na uongozi wa Hamas utakapoangamizwa na mateka wote waachiliwe.