WATOTO NANE WAFA KWA KULA NYAMA YA KASA ZANZIBAR

HABARI KUU Watoto nane na Mwanamke mmoja wamefariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa Visiwani Zanzibar. Mamlaka visiwani humo zimeripoti kuwa watu 78 wamelazwa hosptali baada ya kula nyama hiyo ambayo hupendwa sana Zanzibar. Ulaji wa nyama hiyo ikiwa si salama husababisha sumu inayoweza kuua. Hali hiyo haina dawa bali yapo matibabu ya kuweza… Continue reading WATOTO NANE WAFA KWA KULA NYAMA YA KASA ZANZIBAR

MFAHAMU MPENZI MPYA WA LUPITA NYONG’O

NYOTA WETU Baada ya miezi mitano ya kutengana na Selema Masekela, muigizaji kutoka Kenya aliyecheza movie ya Black Panther Lupita Nyong’o ameonekana kuzama kwenye penzi na mwigizaji wa Canada, Joshua Jackson. Picha zilizopatikana na kwenye mtandao tarehe 3 Machi zilionesha Lupita na Joshua wakifurahia wakati wa likizo yao huko Mexico wakati wakisherehekea siku ya kuzaliwa… Continue reading MFAHAMU MPENZI MPYA WA LUPITA NYONG’O

SABABU YA MKE WA BILIONEA MSUYA KUACHIWA HURU

HABARI KUU Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imemuacha huru Mke wa Marehemu Bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita na Mfanyabiashara Revocatus Everist baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha makosa dhidi yao. Wawili hao walifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza February 23 ya mwaka 2017 wakikabiliwa na kesi ya jinai namba 103… Continue reading SABABU YA MKE WA BILIONEA MSUYA KUACHIWA HURU

HAWA NDIO WATU WANAOINGIZA PESA NDEFU AFRIKA

HABARI KUU Naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amewataka Wakenya wanaoishi nje ya nchi hiyo kuweka akiba na kuwekeza nchini mwao na sio katika mabenki ya kigeni au masoko. Alizungumza wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uwekezaji wa Diaspora katika kituo cha kimataifa cha Mikutano cha (KICC) jijini Nairobi, Gachagua alisema Diaspora… Continue reading HAWA NDIO WATU WANAOINGIZA PESA NDEFU AFRIKA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner