ISRAEL YAKIUKA OMBI LA UNSC

Jeshi Israel linaendelea na mashambulizi yake dhidi ya Rafah, likipuuzia rasimu ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) linalohusikia kusitisha mauaji katika mji huo ulioko Kusini mwa Gaza. Mashambulizi mapya ya Anga yaliripotiwa katika mji wa Kusini jana Jumatano saa chache baada ya mashahidi na chanzo cha usalama cha Palestina kusema… Continue reading ISRAEL YAKIUKA OMBI LA UNSC

Israel ilivyohusika kwenye kifo cha Rais wa Iran Ibrahim Raisi

HABARI KUU Rais wa Iran Ibrahim Raisi (63), Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo, Amir Abdollahian na Maafisa wengine saba waliokuwamo kwenye msafara wamepatikana wakiwa wamefariki katika eneo la ajali ya Helikopta iliyoanguka katika eneo la Jolfa, lililopo zaidi ya kilomita 600 kutoka Tehran karibu na mpaka wa jimbo la kaskazini-magharibi mwa Azerbaijan… Continue reading Israel ilivyohusika kwenye kifo cha Rais wa Iran Ibrahim Raisi

ISRAEL YASHITAKIWA MAHAKAMA KUU YA UMOJA WA MATAIFA KWA KUISHAMBULIA PALESTINE

HABARI KUU Mahakama Kuu ya Umoja wa Mataifa leo Jumatatu inafungua wiki ya vikao kusikiliza hoja za kisheria kuhusu madai ya Israel kuyakalia kwa mabavu maeneo ya Wapalestina, huku zaidi ya majimbo 50 yakitarajiwa kutoa hoja zao kwa majaji. Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina, Riyad al-Maliki atazungumza kwanza katika mashauri ya kisheria katika… Continue reading ISRAEL YASHITAKIWA MAHAKAMA KUU YA UMOJA WA MATAIFA KWA KUISHAMBULIA PALESTINE

HAMAS NA MISRI KUKAA MEZA MOJA

HABARI KUU Mkuu wa kundi la wapiganaji wa HAMAS amewasili kwenye mji wa Cairo kukutana na mkuu wa kijasusi wa Misri , Ismail Haniyeh kwa kawaida anakaa Qatar, lakini ziara yake katika mji mkuu wa Misri ni ishara ya hivi karibuni ya kuwepo mazungumzo. Misri,pamoja na Qatar, zilisaidia kuwepo kwa muafaka wa mapatano mnamo mwezi… Continue reading HAMAS NA MISRI KUKAA MEZA MOJA

WANAJESHI WA ISRAEL WAIVAMIA HOSPITALI YA AL SHIFA

HABARI KUU. Jeshi la Israel limefanya operesheni dhidi ya Hamas iliyolenga hospitali moja kwa moja ya Al shifa mjini Gaza . Jeshi hilo limetaka kujisalimisha kwa watu linalowaita magaida. Mtu aliyekuwa kwenye hospitali ya Al-shifa amemwambia mwandishi wa BBC kwamba wanajeshi wameanza kuivamia. “Askari walianza kwa kurusha bomu la machozi ambalo lilisababisha watu kukosa hewa”… Continue reading WANAJESHI WA ISRAEL WAIVAMIA HOSPITALI YA AL SHIFA

KWANINI HAMAS HAITAKI KUPIGANA NA ISRAEL MOJA KWA MOJA

HABARI KUU. Kutokana na kile ambacho tunaweza kuangalia ni kwamba, Waisrael, ambao walikuwa wameanza uvamizi wa Gaza Polepole ,hivi sasa wameanza kupinga hatua kubwa. Wanajeshi wao 17 wameuawa katika vita,na hiyo ilitokana na makombora kadhaa ya vifaru ambayo yalishambulia maeneo yao. Jeshi la Israel (IDF) limetoa video kadhaa asubuhi ya leo za Wanajeshi katika maeneo… Continue reading KWANINI HAMAS HAITAKI KUPIGANA NA ISRAEL MOJA KWA MOJA

MFAHAMU MOHAMMED DEIF “ROHO SABA” KIONGOZI WA HAMAS

NYOTA WETU Kamanda wa jeshi la HAMAS Mohammed Deif alitoa wito kwa Wapalestina kila mahali kujiunga na operesheni ya kundi hilo ,muda mchache baada ya kundi la wapiganaji wa kundi lake kuivamia Israel na kusababisha maafa mabaya zaidi. “Tumeamua kukomesha makosa haya ya Israel kwa msaada wa MUNGU, hivyo adui anaelewa kuwa muda wa kufanya… Continue reading MFAHAMU MOHAMMED DEIF “ROHO SABA” KIONGOZI WA HAMAS

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner