Jacob Zuma awalalamikia majaji kumzuia kugombea Ubunge

HABARI KUU Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amewalalamikia majaji waliotoa uamuzi wa kumzuia kuwania ubunge katika hukumu walioitoa Jumatatu. Katika mahojiano yake ya kwanza tangu mahakama kumpiga stop kugombea, Zuma ameiambia BBC kwamba Mahakama ya Kikatiba ilikosea kutoa uamuzi kwamba hafai kugombea, kutokana na hukumu dhidi yake ya mwaka 2021 iliyomwona ana… Continue reading Jacob Zuma awalalamikia majaji kumzuia kugombea Ubunge

WANAFUNZI WAFARIKI KWA KUVUTA MOSHI WA JENERETA

HABARI KUU Wanafunzi saba wa chuo kikuu wamefariki dunia baada ya kuvuta moshi wa jenereta katika studio ya muziki kwenye jimbo lenye utajiri wa mafuta la Bayelsa nchini Nigeria. Vijana hao wanasemekana kufanya kazi hadi Jumatatu usiku na kulala kwenye studio iliyofungwa milango huku jenereta likiendelea kufanya kazi. Wanashukiwa kufa kwa kukosa hewa safi na… Continue reading WANAFUNZI WAFARIKI KWA KUVUTA MOSHI WA JENERETA

THINGS YOU MUST GIVE YOUR SPOUSE

LOVE TIPS ❤ 6 THINGS YOU MUST GIVE YOUR SPOUSE: Do you really desire a healthy marriage? Are you really sure? Are you ready to give it all it will take? If you answered yes to all these questions, then let me tell you some things you must give to your spouse if you really… Continue reading THINGS YOU MUST GIVE YOUR SPOUSE

TB Joshua na sakata la kuwanyanyasa wanawake kingono

HABARI KUU BBC World Service wamegundundua madudu ya nabii Joshua. TB Joshua ahusishwa na skendo nzito ya unyanysaji, ubakaji, kuwapa mimba na kuwatoa mimba kinguvu wafuasi wake, vipigo na kutengeneza miujiza feki na shuhuda za uongo za uponyaji ili kuhadaa umma kwa miaka mingi BBC Africa Eye ndio imeachia uchunguzi huo maalum, documentary ya zaidi… Continue reading TB Joshua na sakata la kuwanyanyasa wanawake kingono

REASONS WHY YOU ARE UNLUCKY WITH WOMEN

LOVE TIPS ❤ 1.. You always accept to be her friend. Once a lady says WE ARE JUST FRIENDS or LET US JUST BE FRIENDS that mean she can’t date or marry you. Simple! See finish has entered or you are not attractive at all to her for love relationship. 2.. You talk too much… Continue reading REASONS WHY YOU ARE UNLUCKY WITH WOMEN

Bodaboda usafiri mtamu wenye uchungu ndani yake

MAKALA Sote tunafahamu kuwa kutokana na msongamano wa miji inayoendelea kukua hasa hii ya Kiafrika na ugumu wa maisha katika mifuko, ilipelekea wengi kuuona usafiri wa Bodaboda kama njia rahisi, nafuu na ya haraka kwa usafiri wa umma ambayo hata hivyo ina mambo mengi. Kwa wasiofahamu Boda-Boda imepata jina lake kutokana na neno “mpaka”, kwani… Continue reading Bodaboda usafiri mtamu wenye uchungu ndani yake

TOUCH HER IN THESE PLACES, INTIMATELY

LOVE TIPS ❤ TOUCH HER IN THESE PLACES, INTIMATELY….she loves it. Every traveller needs a map for directions and this is the essence of our topic for today. Women differ one from another. While some women like ice cream, others are satisfied with a bowl of soaked garri, sugar and lots of groundnut (winks). Even… Continue reading TOUCH HER IN THESE PLACES, INTIMATELY

Profesa RWEKAZA MUKANDALA AFUNGUKA MAZITO YA MV BUKOBA

HABARI KUU Profesa Rwekaza Mukandala amesema kuzama kwa Mv. Bukoba kulitokana na sababu kadhaa, kubwa ikiwa ni meli kukosa ustahimilivu na kulala upande mmoja na kisha kuzama. Profesa Mukandala amesema hayo leo katika mhadhara wa uprofesa uliyofanyika katika Ukumbi wa Nkurumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye mafunzo ya kutoka katika kujifungua kwa… Continue reading Profesa RWEKAZA MUKANDALA AFUNGUKA MAZITO YA MV BUKOBA

Zack Orji claims he is from Gabon and not fully Nigerian

CELEBRITIES Veteran Nollywood actor Zack Orji has recently opened up about his identity and heritage, revealing that he is not a full NigerianZack Orji claims he is from Gabon and not fully NigerianBorn in Gabon to a father who frequently traveled for work, Orji shared this strange aspect of his life in a recent podcast… Continue reading Zack Orji claims he is from Gabon and not fully Nigerian

Burna Boy goes into MOVIE PRODUCTION

CELEBRITIES Grammy-winning singer, Damini Ogulu, aka Burna Boy is about to be a movie producer! Burna has now joined the movie industry — Nollywood as a movie producer. He will be making his debut as an executive producer in Black Mic Mac’s upcoming movie ‘3 Cold Dishes.’ He will be executively producing the movie through… Continue reading Burna Boy goes into MOVIE PRODUCTION

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner