MSIMU UJAO VAR ITAANZA KUTUMIKA KWA BAADHI YA VIWANJA

Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB) imethibitisha kuwa msimu ujao utakuwa na Usaidizi wa Mwamuzi (VAR) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wa Jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa TPLB Almas Kasongo amesema VAR itakuwepo katika uwanja huo kwa ajili ya matumizi mbalimbali. “ Msimu ujao tutakuja tofauti kidogo. Tutaboresha na tuna mpango wa kuwa… Continue reading MSIMU UJAO VAR ITAANZA KUTUMIKA KWA BAADHI YA VIWANJA

Aston Villa offer Chelsea £60m for Gallagher negotiations begin

Aston Villa offer Chelsea £60m for Gallagher: negotiations begin Aston Villa have submitted an offer to Chelsea for English midfielder Conor Gallagher, The Times’ Graham Thomley reports. The Birmingham club is ready to pay 60 million pounds sterling for the transfer of the England national team player, Unai Emery’s team expects to pay London’s Chelsea… Continue reading Aston Villa offer Chelsea £60m for Gallagher negotiations begin

Licha ya msimu ujao Simba sc kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika, lakini wataanzia katika mzunguko wa pili wa michuano hiyo, huku Yanga sc watakaocheza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika nao wakianzia hatua hiyo.

Mashindano ya CAF msimu wa 2024/25 yataanza kwa raundi ya awali kati ya Agosti 16 hadi 18 Agosti, 2024 huku hatua za makundi zikipangwa Oktoba hadi mwezi Desemba mwaka 2024. Klabu ya Yanga SC itaanza kampeni zake za Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye raundi ya pili michuano hiyo na wataanzia ugenini huku Simba Sc ikianzia… Continue reading Licha ya msimu ujao Simba sc kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika, lakini wataanzia katika mzunguko wa pili wa michuano hiyo, huku Yanga sc watakaocheza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika nao wakianzia hatua hiyo.

10 WAYS TO TURN A BORING MARRIAGE TO A SUPER JOYFUL MARRIAGE.

Matajiri wa Chama cha Republican wanamuunga mkono Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kufuatia kesi ya kihistoria dhidi yake na kukutwa na hatia ya uhalifu.

Bilionea wa Cassino wa Israel na Marekani Miriam Adelson anatarajiwa kutangaza nyongeza ya Mamilioni ya Dolla kwa kampeni ya Trump wiki hii. Kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Marekani, Bi. Adelson atatoa mchango kwa kamati ya utendaji ya kisiasa iitwayo Preserve America. Ingawa haijafahamika ni kiasi gani anapanga kutumia, katika siasa ambapo vyombo… Continue reading Matajiri wa Chama cha Republican wanamuunga mkono Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kufuatia kesi ya kihistoria dhidi yake na kukutwa na hatia ya uhalifu.

18 WAYS WHEN A MAN IS IN LOVE WITH A WOMAN

MSIGWA AMKATIA RUFAA SUGU AKIRUSHA TUHUMA NZITO

karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Spyro gushes over Nengi, slams critics discouraging him from dating her

The “Who’s Your Guy” hitmaker expressed that he had gotten mixed reactions after he posted a photo of himself and the BBNaija star. spyro nengi discouraging relationship datingSpyro.According to him, some folks had opined that he shouldn’t consider dating her because she’s not good for him since he is a ‘Jesus boy’ and she might… Continue reading Spyro gushes over Nengi, slams critics discouraging him from dating her

DANGEROUS THINGS WIVES ARE DOING

Don Jazzy responds to intimate pictures of Ayra Starr with a man ,discloses his identity

Don Jazzy responds to intimate pictures of Ayra Starr with a man, discloses his identity. Don Jazzy, the head of music label Mavins Records, has disclosed the identity of the man pictured with his artist Ayra Starr in recent viral photos. Ayra Starr, the talented musician behind the hit album ‘Year I turned 21’,, caused… Continue reading Don Jazzy responds to intimate pictures of Ayra Starr with a man ,discloses his identity

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner