KWA DOCUMENTARY HII NITAWASHANGAA WANAYANGA WASIPOVUNJA REKODI KWA KUITAZAMA

Makala Fupi Watu wanakuja na kuondoka,maisha yanakuja na kupita,matukio nayo yanakuja na kuondoka huku matukio haya yakiletwa na kuja kupitia watu tena watu wa wakati husika,yawe mabaya au mazuri yote kwa yote yataleta furaha na huzuni ambazo baada ya muda huzaa kumbukumbu. Kupitia matukio ndipo alama hupatikana ,ndipo heshima huongezeka ndipo tofauti ya watu kwenye… Continue reading KWA DOCUMENTARY HII NITAWASHANGAA WANAYANGA WASIPOVUNJA REKODI KWA KUITAZAMA

YANGA YAINGIZA PESA NDEFU KWENYE TAMASHA LAKE ZAIDI YA SIMBA

Dar es salaam. Matamasha ya Wiki ya Mwananchi na Simba Day yamekamilika ambapo sasa ni rasmi maandalizi ya Ligi ya NBC yataanza kwa wababe wa soka la Tanzania yaani Simba na Yanga. Watani hawa wa jadi wamekuwa wakiwekeana tambo ambazo haziishii kwenye uwanja pekee mpaka kwenye mambo mbalimbali yakiwepo ya idadi ya mabao wanayofunga,takwimu za… Continue reading YANGA YAINGIZA PESA NDEFU KWENYE TAMASHA LAKE ZAIDI YA SIMBA

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

Dar es salaam Mpemzi msomaji wa Magazeti ni asubuhi nyingine tena ambapo leo magazeti yana habari kuhusu Simba Day na Janga la Moto Ubungo. Magazeti ya hivi leo karibu yote yameandika kuhusu Simba Day ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu ambaye kati ya mengi aliyosema ni kuhusu kuipongeza Simba na Ubunifu… Continue reading KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

Dar es salaam Miongoni mwa rekodi ambayo nyota wa Bongo Fleva Diamond Platinum amekuwa nayo kwa muda ni kuwa na ufuasi wa watu wengi kwenye mtandao wa kijamii wa YouTube. Kwasasa taarifa ikufikie ya kwamba mkali wa Nigeria Burna boy anaenda kuivunja rekodi hiyo kitu kitakachofanya sasa Wanigeria wawe wanamiliki kila aina ya mafanikio hasa… Continue reading DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

MTOTO ANYONYE MARA NGAPI KWA SIKU?

<!–INDOLEADS – BEGIN–> Makala Fupi Kadri Mtoto anavyonyonya mara kwa mara ndivyo anavyosaidia kuchochea uzalishaji wa Maziwa zaidi toka kwa mama yake.. Aidha, katika kipindi cha unyonyeshaji ,Mama anashauriwa kuongeza viungo kama pilipili Manga,Mdalasini,Hiliki,Tangawizi na Mbegu za Mboga kwenye Vyakula hili kuchochea Maziwa kutoka kwa wingi. Mtoto anyonye mara ngapi kwa siku? Mtoto anyonyeshwe pindi… Continue reading MTOTO ANYONYE MARA NGAPI KWA SIKU?

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner