Wakati watu wengi nje ya Liverpool wakimuona kama ni mbinafsi na anajiangalia yeye tu, mshambuliaji wa timu hiyo Mohamed Salah amewaziba mdomo waliodhania tofauti.

Salah amekuwa na mchango mkubwa kwa Liverpool tangu ajiunge nayo mwaka 2017 akiisaidia kushinda Ligi Kuu, Ligi ya Mabingwa, Carabao na FA Cup. Msimu huu Liverpool inashiriki michuano ya Europa ikiwa ni baada ya kushindwa kufuzu Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na mara nyingi kwenye michuano hii wameonekana kutumia wachezaji vijana kutoka kwenye akademni yao.… Continue reading Wakati watu wengi nje ya Liverpool wakimuona kama ni mbinafsi na anajiangalia yeye tu, mshambuliaji wa timu hiyo Mohamed Salah amewaziba mdomo waliodhania tofauti.

MOHAMED SALAH AWAGOMBANISHA LIVERPOOL NA EFA

MICHEZO Suala la afya ya Mohamed Salah limeibua mvutano kati ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) na Klabu ya Liverpool ambapo kila upande unavuta upande wake ukiona una haki ya kumtumia na kujua maendeleo ya majeraha yake. Liverpool imedai hajakaa sawa tangu alipoumia Januari 2024 aliposhiriki AFCON, hivyo imeandika barua kwenda EFA kuomba Salah… Continue reading MOHAMED SALAH AWAGOMBANISHA LIVERPOOL NA EFA

HERVE RENARD KUTIMKIA MISRI

MICHEZO Misri ipo katika hatua nzuri za kumnasa kocha Herve Renard kwaajili ya kuinoa timu yao ya Taifa ambayo imekuwa na msimu mbaya kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika nchini Côte d’ivoire . Uongozi wa chama cha soka Misri (EFA) unaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo ya mwisho ya kumpa kandarasi Renard ambaye amekuwa kocha wa timu… Continue reading HERVE RENARD KUTIMKIA MISRI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner