MFAHAMU BALOZI ALI IDI SIWA MKURUGENZI MPYA USALAMA WA TAIFA

Makala Fupi Jana Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa usalama wa Taifa na safari hii ni Balozi Ali Idi Siwa . Hii inakuja katika miaka 2 ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kuwa na teuzi za Wakurugenzi watatu ndani ya muda mfupi. Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani kufuatia,kifo cha mtangulizi… Continue reading MFAHAMU BALOZI ALI IDI SIWA MKURUGENZI MPYA USALAMA WA TAIFA

KWA DOCUMENTARY HII NITAWASHANGAA WANAYANGA WASIPOVUNJA REKODI KWA KUITAZAMA

Makala Fupi Watu wanakuja na kuondoka,maisha yanakuja na kupita,matukio nayo yanakuja na kuondoka huku matukio haya yakiletwa na kuja kupitia watu tena watu wa wakati husika,yawe mabaya au mazuri yote kwa yote yataleta furaha na huzuni ambazo baada ya muda huzaa kumbukumbu. Kupitia matukio ndipo alama hupatikana ,ndipo heshima huongezeka ndipo tofauti ya watu kwenye… Continue reading KWA DOCUMENTARY HII NITAWASHANGAA WANAYANGA WASIPOVUNJA REKODI KWA KUITAZAMA

YANGA YAINGIZA PESA NDEFU KWENYE TAMASHA LAKE ZAIDI YA SIMBA

Dar es salaam. Matamasha ya Wiki ya Mwananchi na Simba Day yamekamilika ambapo sasa ni rasmi maandalizi ya Ligi ya NBC yataanza kwa wababe wa soka la Tanzania yaani Simba na Yanga. Watani hawa wa jadi wamekuwa wakiwekeana tambo ambazo haziishii kwenye uwanja pekee mpaka kwenye mambo mbalimbali yakiwepo ya idadi ya mabao wanayofunga,takwimu za… Continue reading YANGA YAINGIZA PESA NDEFU KWENYE TAMASHA LAKE ZAIDI YA SIMBA

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

Dar es salaam Mpemzi msomaji wa Magazeti ni asubuhi nyingine tena ambapo leo magazeti yana habari kuhusu Simba Day na Janga la Moto Ubungo. Magazeti ya hivi leo karibu yote yameandika kuhusu Simba Day ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu ambaye kati ya mengi aliyosema ni kuhusu kuipongeza Simba na Ubunifu… Continue reading KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

Dar es salaam Miongoni mwa rekodi ambayo nyota wa Bongo Fleva Diamond Platinum amekuwa nayo kwa muda ni kuwa na ufuasi wa watu wengi kwenye mtandao wa kijamii wa YouTube. Kwasasa taarifa ikufikie ya kwamba mkali wa Nigeria Burna boy anaenda kuivunja rekodi hiyo kitu kitakachofanya sasa Wanigeria wawe wanamiliki kila aina ya mafanikio hasa… Continue reading DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

HISTORIA YA MADILU SYSTEM

Amezaliwa:28 Mei 1952 Amekufa:11 Agosti 2007 Jean de Dieu Makiese kama wengi tumjuavyo Madilu System, alikuwa mwimbaji wa Sokous na Mtunzi aliezaliwa Leopoldville ,Belgia Congo. Ni mmoja ya waimbaji kwenye kundi la TP OK Jazz ambayo ilitamba sana miaka ya 1960,1970 na 80. Alianza kuimba akiwa na umri wa miaka 19 hapo Kinshasa tokea mwaka… Continue reading HISTORIA YA MADILU SYSTEM

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner