VeryDarkMan sends message to Tonto Dikeh,Iyabo Ojo others hours after his release

OUR STAR 🌟 Verydarkman has gotten people talking after he sent a message to Tonto Dikeh, Iyabo Ojo, Yhemo Lee, and Daddy Freeze hours after his release. The skincare activist, who had been detained by Nigerian authorities for more than seven days, was ultimately released on Sunday, March 31, 2024. However, it appears that Verydarkman… Continue reading VeryDarkMan sends message to Tonto Dikeh,Iyabo Ojo others hours after his release

16 TEXTS EVERY MAN WISHES HIS WIFE OR WOMAN WOULD SEND HIM DiscoverCars.com

LOVE ❤

BILA NGUMI TANZANIA INGETOKA PATUPU MASHINDANO YA AFRIKA GHANA

MICHEZO Kikosi cha Timu ya Taifa ya Ngumi ya Tanzania maarufu kama “Faru Weusi wa Ngorongoro” wamefanikiwa kuiheshimisha Tanzania katika michezo ya 13 ya Afrika (All African Games 2023) Jijini Accra nchini Ghana inayofungwa rasmi usiku wa leo katika Jiji hilo. Kikosi hicho kimefanikiwa kushinda Medali 3 za shaba katika mashindano hayo kutoka kwa wachezaji… Continue reading BILA NGUMI TANZANIA INGETOKA PATUPU MASHINDANO YA AFRIKA GHANA

MAHAMADOU DIAWARA AJIONDOA UFARANSA KWASABABU YA RAMADAN

NYOTA WETU Shirikisho la soka Ufaransa (FFF ) limewapiga marufuku wachezaji kufunga Ramadhan wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa. Sheria mpya za FFF zinasema kwamba wachezaji walioitwa na timu za taifa za Ufaransa hawawezi kufunga kipindi cha Ramadhani wakati wakiwa na timu za Taifa. Kila kocha mkuu wa timu za taifa za Ufaransa, kuanzia… Continue reading MAHAMADOU DIAWARA AJIONDOA UFARANSA KWASABABU YA RAMADAN

CRISTIANO RONALDO AWATUKANA MASHABIKI WA AL SHABAB

MICHEZO Mashabiki wa soka wamemkosoa vikali Cristiano Ronaldo baada ya kuonekana akifanya kitendo kichafu wakati wa mechi huko Saudi Arabia. Ronaldo anayeichezea timu ya Al-Nassr alifunga bao kwa penati wakati timu yake ilipoishinda Al Shabab kwa mabao 3 -2 hapo jana. Baada ya filimbi ya mwisho, Ronaldo alionekana akikuna sikio lake huku akirudiarudia kutembeza mkono… Continue reading CRISTIANO RONALDO AWATUKANA MASHABIKI WA AL SHABAB

RAMADHAN BROTHERS WASHINDA AMERICA’S GOT TALENT

MICHEZO Kundi la Ramadhani Brothers kutoka Tanzania limepata ushindi wa kwanza wa America’s Got Talent: Fantasy League ambapo wamepewa zawadi ya $250,000 (shilingi milioni 636). Fadhili Ramadhani na Ibrahim Jobu wameibuka washindi wakiwashinda washindani wengine ambao ni pamoja na Pack Drumline, V.Unbeatable, Sainted na Musa Motha. “Ushindi huu una maana kubwa sana kwetu. Tuna furaha… Continue reading RAMADHAN BROTHERS WASHINDA AMERICA’S GOT TALENT

VIWANGO VYA SOKA KWA TIMU ZA TAIFA MWEZI HUU 2024

MICHEZO Ivory Coast imepanda nafasi 10 duniani kwenye msimamo wa viwango vya Fifa baada ya kushinda Kombe la Mataifa ya Afrika, huku Nigeria waliofika fainali wakipanda nafasi 14. Super Eagles sasa wapo nafasi ya 28 licha ya kupoteza mchezo wa fainali, na kuwafanya timu ya tatu bora kutoka Afrika yenye viwango vya juu duniani. Ivory… Continue reading VIWANGO VYA SOKA KWA TIMU ZA TAIFA MWEZI HUU 2024

MFUNGAJI BORA APEWA TIMU

MICHEZO Chama cha soka Misri (EFA) kimemtangaza mfungaji bora wa muda wote wa timu ya Taifa ya Misri, Hossam Hassan kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo. Hossam anachukua mikoba ya Mreno, Rui Vitoria aliyefutwa kazi hivi karibuni kutokana na mwenendo usioridhisha wa Mafarao hao kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika… Continue reading MFUNGAJI BORA APEWA TIMU

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner