ISRAEL YAKIUKA OMBI LA UNSC

Jeshi Israel linaendelea na mashambulizi yake dhidi ya Rafah, likipuuzia rasimu ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) linalohusikia kusitisha mauaji katika mji huo ulioko Kusini mwa Gaza. Mashambulizi mapya ya Anga yaliripotiwa katika mji wa Kusini jana Jumatano saa chache baada ya mashahidi na chanzo cha usalama cha Palestina kusema… Continue reading ISRAEL YAKIUKA OMBI LA UNSC

KINDS OF PEOPLE IN MARRIAGE

LOVE ❤ 3 KINDS OF PEOPLE IN MARRIAGE There’s a married man that always asks me for money. After giving him money on several occasions, I realized that he is just being lazy and comfortable with begging. I have advised him to pick up a job, irrespective of the pay for his family’s sake. At… Continue reading KINDS OF PEOPLE IN MARRIAGE

GHANA YAJIPANGA KUWAKABILI WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA

HABARI KUU Bunge la Ghana limepitisha Muswada mkali dhidi ya watu wanaojitambulisha kwa jinsia na mahusiano yasiyokubalika kisheria. Chini ya muswada huo, mtu yeyote atakayekutwa na hatia hiyo atahukumiwa kifungo cha hadi miaka mitatu jela. Aidha, watakaoanzisha au kuyafadhili makundi ya watu wa aina hiyo watahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela. Pamoja na hayo, wale… Continue reading GHANA YAJIPANGA KUWAKABILI WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA

URUSI YAPITISHA SHERIA KUWAUA WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA

HABARI KUU Wizara ya sheria ya Urusi imewasilisha ombi kwa Mahakama kuu ya nchi hiyo kupiga marufuku shughuli za kile kinachoitwa “vuguvugu la kimataifa la LGBTQ ” Kama lenye itikadi kali. Haiko wazi kama taarifa ya Wizara inarejelea jumuiya LGBTQ kwa ujumla au Mashirika ya umma. Ilisema vuguvugu hilo limeonyesha dalili za “shughuli zenye itikadi… Continue reading URUSI YAPITISHA SHERIA KUWAUA WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA

INDIA YAPINGA KUHARALISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA

HABARI KUU Mahakama kuu nchini India imekataa kuidhinisha mapenzi ya watu wa jinsia moja ikiwa hili ni pigo kwa wanaharakati wa kupigania haki za watu wa mapenzi ya jinsia moja (LGBTQ) katika nchi hiyo yenye idadi kubwa ya watu Duniani. Jopo la majaji watano wa Mahakama hiyo limetangaza uamuzi huo hivi leo jumanne baada ya… Continue reading INDIA YAPINGA KUHARALISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner